
govice - angela كلمات أغنية
Loading...
nimeamua sio siri tena
yaliyo moyoni acha niseme
hakika moyo ukipenda
kama ni pombe niache nilewe
miaka rudi miaka nenda
ninachoomba omba nipewe
ninakuita mama angela we
nayempenda ni wewe
you’re the reason am working so hard
kwenye giza umenipa furaha
umenipa mimi pa kukaa
kwenye moyo wako
uwe dawa n’shaakupata
wanimaliza dance ‘kikata
umenipa nachotaka
you’re the one that i love and i want
angela ooh angela
niko tayari kwenda jela
sababu yako ma’ fela
unanipa’ga sleepless night
angela ooh angela
niko tayari kwenda jela
sababu yako ma’ fеla
unanipa’ga sleepless night
كلمات أغنية عشوائية
- rosa coste - auringonlaskuun كلمات أغنية
- shayla mcdaniel - alive كلمات أغنية
- la f (fra) - imagine كلمات أغنية
- sinisterb - possessed كلمات أغنية
- the wailers - arabs oil weapon كلمات أغنية
- x (srb) - sunce i mesec 2 كلمات أغنية
- martin the martian - i'm a martian كلمات أغنية
- cash kidd - disappointed كلمات أغنية
- não nasci herói - tudo que amei, amei sozinho كلمات أغنية
- quartetto cetra - pecos bill كلمات أغنية