
goodluck gozbert - nibadilishe كلمات أغنية
yeah yeah
ooh
kwanza nimenyoa deni
napenda sana mitindo ya nywele
kuruka usiseme
viwanja vipya ninakaribishwa
kwenye kura saa za insta nakesha
nikitafuta tena mabaya
nikisikia mabata nataka
nalitafuta tena nalipa
wala silipi maden, nikikopa na beti
wala sionagi soni
fungu la k_mi kw_ngu hio ni stori
nasubiri jumapili(sunday)
hata najua sina imani, j_po naitikia amina
nasubiria ukitendaga kwanza, ndio nikubali
aah kama yesu najua na idadi ya vitabu najua
na yalipo makanisa najua, ila kuhudhuria nashindwa
oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
eeh niko na ubaya, niko na ubaya
eeh niko na ubaya, bwana nibadilishe
oooh niko na ubaya, niko na ubaya
eeh niko na ubaya, bwana nibadilishe
kuna venye hii movie inanichoma
hasa ile parapanda
ikipigwa wakizika
na appear, sirudii kosa
maneno yananichoma
binadamu ni maua
ikipita wiki moja masikini
nasahau kabisa
oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
eeh niko na ubaya, niko na ubaya
eeh niko na ubaya, bwana nibadilishe
oooh niko na ubaya, niko na ubaya
eeh niko na ubaya, bwana nibadilishe
nakupa maisha na moyo, utakase
ninapoanguka nishike nisimame
nakupa maisha na moyo, utakase
ninapoanguka nishike nisimame
eeh niko na ubaya, niko na ubaya
eeh niko na ubaya, bwana nibadilishе
oooh niko na ubaya, niko na ubaya
eeh niko na ubaya, bwana nibadilishe
translate to english
كلمات أغنية عشوائية
- jake hoot - wintersong كلمات أغنية
- rouxinol e cardeal - volte do inferno كلمات أغنية
- garrett williamson - get along كلمات أغنية
- tiger dek - regina sulla panca كلمات أغنية
- evandroolivah - a paz كلمات أغنية
- soziale unterschicht - mischkonsum كلمات أغنية
- marley - title ix (mike devo diss) كلمات أغنية
- klue - coming home كلمات أغنية
- jbach - taste كلمات أغنية
- almost blue - fumando sin prisa كلمات أغنية