ghaiza the kenyan alpha, bacs(eddy amin) - hizi taabu zangu كلمات الأغنية
verse 1: ni hangaiko za maisha, kil siku kujimudu, kujikimu, kujilisha, nitawezana kweli? heri nipate chance, nafasi kidogo, kupunguza hizi fikra nitulize hii ubongo, si uwongo, mawazo yamenijaza nina dhiki kwenye giza na shida kwenye mw_ngaza, lakini naamini nitafika, rent sijalipa, mziki kwenye speaker ni kipaza cha kusikika, thoughts zaenda deeper, mungu niokoe juu bado nababaika cheki, kuwa kiumbe ni kuwa kasoro, nimechoshwa na uchungu kunifika kwa roho, so, wacha nichape shot, pia niseti moja, nikirelax kwenye sofa mimi sina hoja, najua siku itafika sitalia juu ya….
verse 2: big tracks of land ploughed to plant/
treat soil then buy seeds na fertilizer bags/
work force pia si free bado ninatokwa cash/
from planting upalilizi na kuvuna plants/
weather focus says kutakuwa freshi/
thank god round hii mvua imekuwa plenty/
but for awhilе then capish, ka mgeni asiye tarajiwa drought pops in/comеs in consumes all nime accomplish/
na k_mbuka all these funds ni some loan thing/
ohh my god h_ll on earth what i’m i gonna do/
ile same same time ingine ina pop kwa room/
what the f_ck ati anthrax prophet of doom/
nikimshika right now naweza k_m_chew ka food/
mifugo wote, wako dead and gone/
nilifanya nini mola ni amend my wrongs/
please say a word boy wako niko torn/
i’m down for anything i’m down for any cost /
provided ni_go back to ile place na belong/
coz for the moment niko for sure lost/
كلمات أغنية عشوائية
- eucarius walker - fustarture كلمات الأغنية
- katie morey - curlique telephone wire كلمات الأغنية
- anna trincher - почни з себе (start with yourself) كلمات الأغنية
- crashgirl - looking to die? كلمات الأغنية
- juvy aka almostdead - afterlife كلمات الأغنية
- unocoolbro (nconlyhope) - c a n t . f l y كلمات الأغنية
- ojinyx - stalker كلمات الأغنية
- octi - turbo #nitrouscrazy كلمات الأغنية
- 田亞霍 (elvis tian) - my hero كلمات الأغنية
- vedn13 - случай (case) [phonk remix] كلمات الأغنية