kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ghafla - ukija كلمات الأغنية

Loading...

intro (malkia karen)

kuna muda nakuk_mbuka
ipo siku utaijua
tuimbe nyimbo za furaha
huo ndo mziki ninaoujua

verse 1 (ghafla)
sina budi nikusubiri njia miba popote kambi
ukirudi ni vizuri tutakula pochopocho flani
unajua chokochoko yaani
vile binadamu hawana wema ukitenda wema bado watanyea kambi
ujue tumetoka mbali
ukiachia uzuri wako mwanaume gani aliye tayari siku ukipoa kimwili
najua uko poa kistyle
ndio hauna doa sijaji
ndio nataka ndoa kimwali
basi tabasamu nione dimpoz au jiachie kwa mbali
mola muongoze huyu mwanamke anaejitoa kisa mimi
haniachi akiamini
ye ni mfano wa mama pindi anapokuwa na mimi
nibariki nae,nimemuweka kwenye maombi yangu
nisiende mbali nae,ni kiongozi wa maisha yangu
ile hawatabiri hata wanajimu
haya mapenzi sio ya msimu
ndio nina kichwa cha mwendawazimu
ila nina moyo flani adimu
kukukosea ni kujiadhibu
ukinipotea itanigharimu
huwezi kufa moyoni mw_ngu
moyo unakuzaa kila siku
chorus (gilbey capachido)
ukitaka cheka nao (nao)
usiende mbali now (now)
nafsi yangu inasubiri we ukija (we ukija)
niache nichekwe now (now)
mi sina mpango nao (nao)
bado nasubiri mpaka we ukija (we ukija)

verse 2 (ghafla)
vita nyingi tumepigana pamoja najua unaelewa
sikuwa na ghetto ikawa maghetto kwa wana najua unaelewa
nilikupa vyote ninavyoweza uridhike hilo unaelewa
najua umefika unanielewa,asante hilo naelewa
ulinipenda nipo real pumbavu wanadai angekewa
pumbavu wanasema hatudumu dizaini ya maskini akipewa
shosti wanadai utachezewa
huyo ni ahmada akilewa
huyo atakuacha akipata unakosa raha una haha
chozi linatoka ukiwaza
muda na umbali tumetoka
tumaini na amani unakosa
unawaza vipi nikiondoka
moyo wako tayari umeoza
na masalia yaliyobaki hayawezi mkidhi mwingine unadata mazima una haha
usilie na moyo wako mi nipo njoo lia na mimi
ikizidi ugumu yana mwisho kesho haifiki
usihuzunike kunipata upo salama salmini
hujakosea kunichagua usiogope jua upo na mshindi
chorus (gilbey capachido)
ukitaka cheka nao (nao)
usiende mbali now (now)
nafsi yangu inasubiri we ukija (we ukija)
niache nichekwe now (now)
mi sina mpango nao (nao)
bado nasubiri mpaka we ukija (we ukija)

outro (gilbey capachido & karen)
kuna muda…we ukijaa
kuna mudaa..we ukijaa
nafsi yangu inasubiri inasubiri inasubiri (nao)
ipo siku..
we ukijaa (nao)
ipo siku…
sina mpango nao
mpaka we ukija
mi sina mpango naoo
huo ndo wimbo..
sina mpango nao..
ninao ujua..
ninao ujuaa…yeeeah

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...