![kalimah.top](https://kalimah.top/extra/logo.png)
ghafla - koti na buti lyrics
intro
mtoto w_ngu _n_lia peke yake barabarani _n_lia barabarani mwenyewe
mtoto w_ngu anasononeka
lakini faraja yenu leo ni nguzo kwake
hiki mlivompa
arusha mbali ndugu zangu
dar es salaam mbali
chorus
haikuwa pafyumu,ni jasho kali
koti na buti kwa mguu sivui natanga mtaani
vidonda vya tumbo,viliuma ndani
kipindi sina chapaa na njaa ni kali
haikua nafuu walaa hukujali
ulisema usiogope komaa itakuwa afadhali
verse 1
napiga na simu kwa mama ikizidi hali
jumlisha sijala mchana ila leo afadhali
yote nawaza vipi nikupe mambo flani
nikupe ile kitu unapaa fimbo ya mbali
napanda nashuka napata nakosa naelea angani
naona naibeba mitaa tunakwenda mbali
kwenye hii safari ya mapito
upendo unabebwa na mshiko
usiende mbali na nilipo..noo
mbali sioni kabisa
mbele naona kwa shida
mboni yangu nakuita..njoo
fanya fasta ujongee
fanya uje nipone
fanya uje tuone..ooh
natamani uone
uishi ufarahie jioni
tuliyochumia juani..ooh
chorus
haikuwa pafyumu,ni jasho kali
koti na buti kwa mguu sivui natanga mtaani
vidonda vya tumbo,viliuma ndani
kipindi sina chapaa na njaa ni kali
haikua nafuu walaa hukujali
ulisema usiogope komaa itakuwa afadhali
verse 2
huzuni furaha
kulewa bar ni kwako
najua sanaa
uzuri wa mziki unao
nimeumbiwa tamaa
ninavyotamani unavyo
silali kwa raha
raha yangu unayo
ningeweza vipi jiulize bila ya shabiki
nitaishi vipi niulize bila ya rafiki
rafiki yangu ni wewe mimi na mziki
tumeishi sote kitambo bila ya usaliti
wamekuja,wakaondoka
nikaumia,nikasonga
wakarudi,mmoja mmoja
siwezi lipiza namuachia mola
chorus
haikuwa pafyumu,ni jasho kali
koti na buti kwa mguu sivui natanga mtaani
vidonda vya tumbo,viliuma ndani ndani
kipindi sina chapaa na njaa ni kali
haikua nafuu walaa hukujali
ulisema usiogope komaa
itakuwa afadhali
haikuwa pafyumu ni jasho kalii
vidonda vya tumbo
koti na buti kwa mguu
koti na buti kwa mguu sivui natanga mtaani
koti na buti kwa mguu
koti na buti kwa mguu sivui natanga mtaani
كلمات أغنية عشوائية
- p!nk - all i know so far (cedric gervais remix) lyrics
- martin mull - ventriloquist love lyrics
- lil tytan - in memoriam lyrics
- kell grizzly - 9 times out of 10 lyrics
- jahmiel - you can do it too lyrics
- the casual terrorist - a child again lyrics
- knights of 88 - nirvana of guns lyrics
- teenietus - together forever lyrics
- the zombies - andorra (live) lyrics
- 坂口有望 (ami sakaguchi) - セントラル (central) lyrics