kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

gelax - king'ora كلمات الأغنية

Loading...

intro
king’ora x5
kimelaa

chorus
king’ora kimelia ,kimelia …kimelia x2
king’ora kimelia ,kimelia …kimelia x2
kazi za shetani zimeshaharibiwa x3

verse 1
king’ora , king’ora kimelia
kama una makosa anza kuyatubia
napata kwa mtaa kuwahubiria
kukimbia sio njia,adui anazo mbinu za kukuijia
na ishara hii inaonyesha wewe sio mtii
itolewapo hii sauti kuna mtu alidai haki
nimeokolewa kwa alioyetundikwa juu ya mtii
hutawekwa huru , ndani ya gereza hakuna suluhu
njia ya kukataa uovu, ni kuukubali wokovu
unaoletwa na mwili wenye tamaa
ndipo kutengana na utakatifu
maana ikisha komaa, huo ndio uhalifu
kondoo walio tawanyika wana mchungaji
huwaongoza kupita nyika ,anayefuzu anavishwa taji

chorus
king’ora kimelia ,kimelia …kimelia x2
king’ora kimelia ,kimelia …kimelia x2
kazi za shetani zimeshaharibiwa x3

verse 2
nastahili amani , nastahili furahaa
langu ni k-mwamini, lake na mimi kukaa
pasipo yeye msalabani ,huk-mu ile ingetufaa
situmikishwi na gonjwa tangu yesu nilivyo muonja
linapokuja shida , naliita jina
you call 911, kwako ni kawaida
tatizo sio ajali, nimikakati tu ya shetani
ila mungu ndiye anayetujali
mlio huu usikika hata kwa aliyejificha
ufunuo wa moyoni unaonekana kama picha
inatangaza usalama aliye muaribifu basi aanze kuama
mteule ulipendwa, ni dhaifu mwenyewe ajiwezi
mwokozi ndiye bima, kwenye utetezi
ukielewa habari njema, wala usikaidi
muamini bwana ili upate tumaini

chorus
king’ora kimelia ,kimelia …kimelia x2
king’ora kimelia ,kimelia …kimelia x2
kazi za shetani zimeshaharibiwa x3

outro
wakristo

isaiah 61 :1, wakristo
kimeliaa

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...