
gee waya - amoure كلمات أغنية
intro
hu yeye ye ye ye
gee waya
mhh mhh
i’m blaze
nanananana
nana nananana
nana nanana
nanana nananaaa
verse 1
aliwazalo mjinga ndio litamtokea
ila mi mema ninajiombea
kipndi changu cha uhai mimi na w_ngu mai
tudumu na na tuzidi kufanikiwa
juzi jana na leo kesho pia
ninavyokupenda siishi kukwambia
mtamu zaidi ya asali haunikinai
mapungufu binadamu kuvumiliana
pre_chorus
sare sare
wanaruka ndege wafananao angani
na iwe mi na wewe raha na changamoto za duniani
amoure amoure
nakupa kuni chochea moto washa
hata usiogope
wakitusema vibaya
chorus
we ndio yangu dawa dawa dawa dawa
ukinipa mwili unanikaa sawa
moyoni mw_ngu umeshanizagaa
nakuganda chawa chawa twende sawa
(repeat)
we ndio yangu dawa dawa dawa dawa
ukinipa mwili unanikaa sawa
moyoni mw_ngu umeshanizagaa
nakuganda chawa chawa twende sawa
twende sawa my twende sawa we ndio yangu dawa
unanipa powеr unanipa power my twende
sawa wе ndio yangu dawa
verse 2
kidogo chetu mi nawe my buu
kikubwa nimeridhika na wewe tu
kila siku kwetu ni siku kuu
na nina enjoy ukinishika kwa huku
nalinda thamani ya upendo
sababu mi nimejawa na wivu
hata siyataki magendo
dharau isije nijengea maumivu
pre_chorus
sare sare
wanaruka ndege wafananao angani
na iwe mi na wewe raha na changamoto za duniani
amoure amoure
nakupa kuni chochea moto washa
hata usiogope
wakitusema vibaya
chorus
we ndio yangu dawa dawa dawa dawa
ukinipa mwili unanikaa sawa
moyoni mw_ngu umeshanizagaa
nakuganda chawa chawa twende sawa
(repeat)
we ndio yangu dawa dawa dawa dawa
ukinipa mwili unanikaa sawa
moyoni mw_ngu umeshanizagaa
nakuganda chawa chawa twende sawa
twende sawa my twende sawa we ndio yangu dawa
unanipa power unanipa power my twende
sawa we ndio yangu dawa
كلمات أغنية عشوائية
- key (shinee) - power كلمات أغنية
- neverglow - back & forth كلمات أغنية
- esham - where my b at? كلمات أغنية
- halestorm - wings by كلمات أغنية
- limesoda - zzz كلمات أغنية
- chris bru - stars كلمات أغنية
- cry monster cry - lift for two كلمات أغنية
- yeng constantino - ferris wheel كلمات أغنية
- jai waetford - you're the lead كلمات أغنية
- waka flocka flame - materialistic كلمات أغنية