gabiro dahiphop - alama كلمات الأغنية
usiambiwe mtu men
usikubali jamaaa
wanajaribu kunipoteza kunitoa kwenye calender
mwili wanu huwa sawa
hey mama
sijawahi pata alama
hey bana
mapenzi kitu funny sana
hey mwna
sasa hivi nina alama
cheki bana ah ah cheki bana
skiza baby ukweli w-ngu na maana/mi ni leftie iyo alijua jana/aliniseti na uchungu niliskia bana/na we kipusa bado nakupenda sana/walinipiga na kunitesa sana/walinitusi na mimi sikuwatukana/ah-bado hatujatoshana,mi na wao hatujafanana/nimetamani kuchukia wao vijanagabiro nakupenda msichana/mi na wao hiana haja kugombana/iyo siku roho zetu kutengana/unatambua mimi nao jo tuligongana/kila siku mi na wao tulipokutana/ili bidi mi na wao jo kuchapana/ndo mana sasa nimejawa na hizi alama
mwili wanu huwa sawa
hey mama
sijawahi pata alama
hey bana
mapenzi kitu funny sana
hey mwna
sasa hivi nina alama
cheki bana ah ah cheki bana
hey kipusa unanitesa sana mwana…na mimi pia ninashindwa na vijana/kijana skiza nikueleze kwa upana/mi mwenzako naogopa ma laana/wakichonga sisi bado tunafaana/siku moja tutakuja kuzaana/ata kama nimejawa ma alama/ninaogopa ma gharama/majuk-mu yaja niandama/maskini sina ata ndama/itabidi nimepanga njamaah/itabidi nmepanga njama ah/kupenda wengi imefanya shimo nikazama/kusikiliza imepita so wewe tazama/kuwaseti nimeacha ju naogopa ma laaana
mwili wanu huwa sawa
hey mama
sijawahi pata alama
hey bana
mapenzi kitu funny sana
hey mwna
sasa hivi nina alama
cheki bana ah ah cheki bana
sitawachapa baby nakuambia kwa furaha/sitawapiga baby,maisha jo ni safari nimeona wengi/darasani nimeenda kajifunza mengi/asante kwake jo mzazi umenikana mengi/ajali haina kinga na iyo sitopinga/usinione hivi mrembo ukaringa ringa/najaribu tu kujiepusha na ma ujinga/nipate nikiimba studio ninavunja winga/mi pia ningetaka jo ningewalinga/ma boy sita,ghetto tukawapita,wakakuita na mimi sikusita yaani afta siku sita jo kuanza vita na rada nikanyita/mapenzi yako siwezi cheza kwa guitar/nimejawa ma alama mwilini ju yako sinyorita ah
mwili wanu huwa sawa
hey mama
sijawahi pata alama
hey bana
mapenzi kitu funny sana
hey mwna
sasa hivi nina alama
cheki bana ah ah cheki bana
sitowachapa baby…sitowapiga baby…ninasema sitowagonga baby
nawasamehe kama mnyama ana-argh
كلمات أغنية عشوائية
- the jesus lizard - rope كلمات الأغنية
- foxpaw - ghost كلمات الأغنية
- stef carse - rebelle كلمات الأغنية
- abad 21 - benci tapi cinta كلمات الأغنية
- of montreal - polyaneurysm كلمات الأغنية
- diablo (band) - rebellion of one كلمات الأغنية
- tsutom bb - notitle3 كلمات الأغنية
- canta u populu corsu - rossignyol كلمات الأغنية
- endovein - s.i.n. (supreme insatiable need) كلمات الأغنية
- jamestown story - you're going down كلمات الأغنية