kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

frorence mureithi - mteule inuka كلمات الأغنية

Loading...

inuka, jitie
nguvu,
simama, u
mshindi,
tawala, una
kibari,
msaidizi wako,
yu ndani yako
jielezeje mteule, ulivyo na nguvu
umepewa uwezo, kwa roho wa mungu
usife moyo mteule, ufalme ni wako
umrithi, pamoja na yesu
nikuelezeje, hakuachi bwana
hadi mwisho, wa dahari
inua macho mteule, uone mbali
giza latoweka, kwapambazuka

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...