
freshboyz - usawa huu كلمات أغنية
verse (gran geez)
kama haing’oki haikauki
niko mbioni sichoki
na nimefika ku_stay mpaka unikute umauti
hustle hard!
kutimiza ndoto wasije kusema naotea
matunda ya hustle na wana na_share
kiroho safi twa_survive hauwezi jua hata tukifulia
hauna mkwanja ukiongea sana unaonekana unafoka
mkwanja unakosha
siku hizi matozi vibopa
niko na mguu wa kutoka
nipo karata ya mwisho wamelamba joker it’s over.!
but it ain’t over! till it’s over yet
mikazo na hustle iendelee
still at the bottom nafosi nich0m_zee
we gon make it in any way
chorus (tboymill)
usawa huu yeah (huu!)
mwendo ni juu si hatuwezi kushuka (man)
usawa huu yeah
chaguo ni lako kunyoa au kusuka (man)
usawa huu yeah (go!)
k_meshakucha so sivuti shuka (man)
usawa huu yeah
usawa huu yeah (huu!)
usawa huu
huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
usawa huu
huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
usawa huu
huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
usawa huu
huu huu huu huu huu huu
verse (10k degrees)
hauwezi kuona with your eyes
(unh why?)
nijiandalie party maskani alafu niwe surprised (what!?)
labda nikupе a piece of advice (listеn)
are your scared? (scared?)
nishafika ghetto ndo unaanza kuuliza are you there? (are you serious?)
i am who i am and i’m furious (go!)
i’m staying maana siujui hata umauti man i’m curious (get right!)
i’m surrounded with the purest
all we got is endurance
i pray to god nikifika popote kimziki nisionekane tourist
are you sure? vipi? i’m sure
nitakushtua when i’m done with the tour
man the song is not even yours
siku saba zikipita ndo utaona dalili
we spreading ka’ ugonjwa wa kifuaah
(oyah weh!)
chorus (tboymill)
usawa huu yeah (huu!)
mwendo ni juu si hatuwezi kushuka (man)
usawa huu yeah
chaguo ni lako kunyoa au kusuka (man)
usawa huu yeah (go!)
k_meshakucha so sivuti shuka (man)
usawa huu yeah
usawa huu yeah (huu!)
usawa huu
huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
usawa huu
huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
usawa huu
huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
usawa huu
huu huu huu huu huu huu
verse (6ixtoogood)
unaweza kung’aa na huna bati
boss na huna shpapi
bonge la game na hauja practice
(hold on!)
hii ndo tunaita bahati, milo safi, michapati
ghetto nna mtoto ananiita papi
push to start hakuna car keys
tulikua slow but now ni godspeed
toka god did! hunh
sifanyi tena mambo small hata kama ku_ball na ball big
na kama ni dough i’m more greed
i be running this whole league
they say more money, more problems, more stress
i’m not lucky i’m so blessed kama tillah
bila hata ndumba kama sio nyumba ntavuta hata pila 6ix
chorus (tboymill)
usawa huu yeah (huu!)
mwendo ni juu si hatuwezi kushuka (man)
usawa huu yeah
chaguo ni lako kunyoa au kusuka (man)
usawa huu yeah (go!)
k_meshakucha so sivuti shuka (man)
usawa huu yeah
usawa huu yeah (huu!)
usawa huu
huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
usawa huu
huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
usawa huu
huu huu huu huu huu huu(huu! huu!)
usawa huu
huu huu huu huu huu huu
كلمات أغنية عشوائية
- skeeter davis - little music box كلمات أغنية
- alvin and the chipmunks - addio, fiorito asil كلمات أغنية
- danny noriega - jailhouse rock كلمات أغنية
- skeeter davis - let it be me كلمات أغنية
- fading invincible - waste my time كلمات أغنية
- skeeter davis - lovin' touch كلمات أغنية
- bryan castillo - latin girl كلمات أغنية
- fading invincible - tired كلمات أغنية
- fading invincible - thank you كلمات أغنية
- skeeter davis - my happiness كلمات أغنية