kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

freshboyz - tupa kule (ghetto) كلمات الأغنية

Loading...

made of gaddafi arrgh
ghetto heh! ghetto heh! ghetto heh!
ghetto heh!ghetto heh! ghetto heh!
ghetto heh! ghetto heh!

malume!(malume…malume)
yeah ghetto ooh ghetto ooh ghetto ooh ghetto ooh
selo ooh selo ooh wanataka niende selo selo
leta usela oya eeh si masela mbayaa
leta usela oya eeh si masela mbaya
tupa kuleeh ….tutakupiga makofi
(chokochoko)
tupa kuleeh tutakupiga makofi
(chokochoko)
tupa kuleeh tutakupiga makofi
(chokochoko)
tupa kuleeh tutakupiga makofi

young boys toka ghetto
fresh like..ndio maana hawaachi kubana meno
headstart tuliwapa kabla instrumental kugonga
(tupaa kuleeh!).. acha kubonga
choko choko huku watakugonga
piga hata makofi uone tunavyosonga
oyaa eeeeh
ukileta usela unakandwa
mganga hajigangi mjuba anaganga
sijavuta bangi sijakata kamba
ghettoooh tumetoka kwa majanga
i drive the game crazy funga mkanda
i got the game sema bei ndo imepanda
oya weeh my heart gone cold
zombie survival mode
g o a t on a driving mode
tangu nipo 18 a n_gga went rogue
me and my brothers on gang on god!
(oya eeh!!)
ni stimu za msoto ndo zinazonifanya
nifanye kwa viw_ngo vya juu
high,nagonga cheers tu na anga
nipo sambamba na winning
kama vizinga na pisi inayodanga
straight toka ghetto
kwa masela wanaopenda mimea
so yes niko familiar na ushamba
ndo ulinisanua nikavuna maujanja

born ready born ready
mtumwa ndoto najituma bila mijeledi
mambo yawe steady
na yaende kiulaini ka’ maji ya mfereji

nafwata miiko kitambo nilikua na wanangu tunapika noma
na huwezi tukuta kinyonge mikwara ka’ trafki aliekamata kosa
tuko na mifumo korokocho huwezi tusoma

real badboys freshboys don brothers
ni kweli si wajuzi ila bado hatujachacha
tunawapa maladha
tuko sharp ila mzuka wetu hatuwezi ukata
nuh uh
geezus!..
ghetto ooh ghetto ooh ghetto ooh ghetto ooh
selo ooh selo ooh wanataka niende selo selo
leta usela oya eeh si masela mbayaa
leta usela oya eeh si masela mbaya
tupa kuleeh tutakupiga makofi
(chokochoko)
tupa kuleeh tutakupiga makofi
(chokochoko)
tupa kuleeh tutakupiga makofi
(chokochoko)
tupa kuleeh tutakupiga makofi

leta upuuzi leta ujinga
wanagu wambuzi wash_ga pinda
hatuna habari hamna luninga
leta vibudu huku nachinja
daily mapini na tushatoboa so hatuwezi kuvimba
nani anabisha nani anapinga
kote natimba
tuko jangwani ila bado masimba arrgh
(kama ni..)
kama ni list wanao wanashushwa
cheki wanavutwa spidi ya guta
naijua mitaa man utasema pusha
siwezi kukaa man sivuti shuka
naishi ndoto sipo ndotoni
cheki mazishi tupo motoni
nipo jikoni mwanangu moni katoka sokoni aargh
(too good)
hata kama jioni sikomi my n_gga
nasafisha mboni nazama lindoni
nasaka ma_cash nikwepe foleni
manyota kibao utasema luteni
driving the city sjui hata leseni
kichwa kizito nimebeba semi
watoto wa kizungu utasema ni remmy
so call me ongala hii sura ya kitemi my n_gga
new king of the jiji hunh
mitaa imenilea
chocho kwa chocho siwezi potea
nishaamua kufanya endeleeni kuongea
ila chunga maneno mtaja potea
na sio ka’ nakutisha mdomo unaponzaga kichwa
leta choko choko ntakuadabisha
ghetto sio poa so usichukulie poa tukipoa
we from tha

ghetto ooh ghetto ooh ghetto ooh ghetto ooh
selo ooh selo ooh wanataka niende selo selo
leta usela oya eeh si masela mbayaa
leta usela oya eeh si masela mbaya
tupa kuleeh tutakupiga makofi
(chokochoko)
tupa kuleeh tutakupiga makofi
(chokochoko)
tupa kuleeh tutakupiga makofi
(chokochoko)
tupa kuleeh tutakupiga makofi

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...