kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

freddy saganda - rafaeli lyrics

Loading...

[intro]
woo huu…..
yeah, yeah…

[chorus]
ah, ni namna gani, ah, ni jinsi gani?
tuta win maishani mpaka siku tunasema buriani
ah, ni namna gani, ah, ni jinsi gani?
tuta win maishani mpaka siku tunasema buriani
ah, ni namna gani, ah, ni jinsi gani?
tuta win maishani mpaka siku tunasema buriani
ah, ni namna gani?
ah, ni jinsi gani? (yesu w_ngu)

[verse 1]
ilikuwa jumapili nikamuona rafaeli amekaa juu ya nini’ ni juu ya baiskeli
namuuliza anaenda wapi, kaniambia anaenda ferry, uko ferry ni kwa nani? kwa lile jitu tapeli
sasa utamuona wapi?
atakuwa’ kwenye meli, kwenye meli ndio wapi, ndio huko huko tena
baadae namuona huyo huyo rafaeli anacheza na nani?
na yule dada mary
namuuliza rafaeli’ hapa ndio ferry? anasema’ sio hivyo, mwenzio ni unajua mi nimeharibikiwa na ile baiskeli, nategemea kwenda kule oysterbay
nako huko ntamkuta’ braza mtei, yeye ndo atakaye nipunguzia bei’ ya spea za baiskeli

[chorus]
ah, ni namna gani, ah, ni jinsi gani?
tuta win maishani mpaka siku tunasema buriani
ah, ni namna gani, ah, ni jinsi gani?
tuta win maishani mpaka siku tunasema buriani
ah, ni namna gani?
yesu w_ngu!
ni jinsi gani? (yeleuwi)
ni jinsi gani tuta win maishani mpaka siku tunasema buriani
ah, ni namna gani?
ah, ni jinsi gani?
[verse 2]
kesho yake nikatoka’ moja kwa moja kwa rafaeli, nikamkuta nyumbani ana sikiliza cd ya r.kelly
nikamuuliza rafaeli unaye cd ya makavelli?
akaniambia ana makavelli ya r.kelly na mariah carey
sisi hatuku kaa’ tuka toka moja kwa moja, hao…
mpaka kwenye bar, unaambiwa watu walikuwa wamejaa, ukiangalia nje zime shengamana baiskeli’ na moto_car
basi tukaagiza masanga pale na kitimoto, tukaanza kupata moja baridi, moja moto
wakati tunaendelea eh
kidogo tu
huyo…katokea mzee urassa’ na ile land_cruiser yake new model ya kisasa, power engine 2.4, pulling system ya kisasa, unaambiwa ni automatic kuanzia viti’ hadi vitasa
basi alikuwa na laki tatu mf_koni, akajishika kiunoni, akatuangalia usoni, akatudharau, akaingiza mkono mf_koni, akatoa pesa akaweka pale mezani, kisha akaenda chooni
sisi basi tukaanza kulewa, tukalewa, tukalewa, yesu w_ngu!
tulilewa, tulilewa, tulilewa, tulilewa, wakaongezeka ndugu zetu kutoka sehemu mbalimbali za kilimanjaro;
marangu, machame, uru, kishumundu, kibosho, mwika, vunjo mpaka kiboriloni, unaambiwa tarakea mpaka huku sehemu za rombo, wote pale’ wakawa wamemiminika (wacha bwana!)
massawe alikuwepo
marrealle alikuwepo
shirima alikuwepo
mangi alikuwepo
lema alikuwepo
ndossy alikuwepo
mlei alikuwepo
azei alikuwepo
mama prisca alikuwepo
mama manka alikuwepo
minja alikuwepo
kilua alikuwepo
na huyu mtoto anakaa mtaa wa pili, nani huyu?…
chuwa?
hehe eti chuwa naye alikuwepo…
[chorus]
ah, ni namna gani, ah, ni jinsi gani?
tuta win maishani mpaka siku tunasema buriani
ah, ni namna gani,(yeleuwi!) ni jinsi gani?
tuta win maishani (yesu w_ngu), mpaka siku tunasema buriani
ah, ni namna gani? ah, ni jinsi gani? tuta win maishani mpaka siku tunasema buriani
ah, ni namna gani?
ah, ni jinsi gani?
kwakweli…

[verse 3]
wakati tunaendelea kupata pale masanga na kitimoto
rafaeli na massawe hao…wakatoka’ sikujua kinachoendelea’ nikajua wanaenda kuruka majoka
kwasababu kulikuwa na mziki wa reggae, charanga, na ule mziki wa kufoka foka
akilini mw_ngu nilikuwa nafikiri kwamba mambo yataenda ya kifanya nini?…
he, yakienda ya kinyooka!
k_mbe huko walipo kwenda walienda ku_kuwachokoza wake za watu wakiwa wameketi, wakaanza kuwashika shika mabegani mpaka zile sehemu zao nyeti
basi waume zao nikaona wamechukia, maneno machafu wakaanza kuwatupia
kinabo wewe!
oi!
muache mke w_ngu kima wewe! unamshikia nini huko!
mara huyu ka_kamtukana mwenzake sijui kamwambia, “fala wewe”, huyu kamrudishia maneno yale na yale; ili mradi tu’ ikawa vurugu mechi
basi wale wanaume nikaona wamebeba mawe’ wakataka wamponde nayo massawe
basi rafaeli akamrukia teke mmoja wao (ti…!)
akamuangusha pale pale, (yesu w_ngu!)
akataka akimbie, ajafika mbali, akakamatwa na nani?
na yule afande chale
asa mi nikamwambia afande chale naomba basi umruhusu huyu rafaeli nyumbani ah_akalale
akaniambia ni lazima kituoni huyu rafaeli leo’ akalale
sasa nikaona sina tena la kufanya
rafaeli ndo huyo tena’ amesha ulowanya (yesu w_ngu!)
kwanza mimi kichwani lager zishanichanganya
ikabidi ningoje nijue kesho kitu gani nitafanya
basi’ maana rafaeli ndio kama ameua, basi pesa zangu zote polisi watakuwa wamechukua (yesu w_ngu, yeleuwi!)
pesa ni maua, maana maua hunyauka vile vile huchanua
ah!
[chorus]
ah, ni namna gani, ah, ni jinsi gani?
tuta win maishani mpaka siku tunasema buriani
ah, ni namna gani, ni jinsi gani?
tuta win maishani mpaka siku tunasema buriani
ah, ni namna gani? ah, ni jinsi gani? tuta win maishani mpaka siku tunasema buriani
ah, ni namna gani? (yesu w_ngu, yeleuwi!)
mura mura mai
ah, ni jinsi gani?
ah, ni namna gani?

[outro]
big up to all the n_ggas from kibosho
n_ggas from marangu
n_ggas from mwika
n_ggas from rombo, moshi mjini, pale’ old moshi and many many places
representing the area
wa_chagaa tupo’ hatupo nyuma kwa hip_hop (tell them!)
yeah…
big up to mama prisca, popote ulipo
big up to mama manka, popote ulipo
i’m telling you, i’m representing this sh_t’ for real
if you dont care’ pack up your bags and luggage and go home
this is how we do, mtatutambua wachagaa mwaka huu…

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...