
flier - siwezi kukuweka كلمات أغنية
verse
utasare hizo keys
za mlango hapo down na mawochi
mi na weh hatuna biz
tangu udecide mi ni potty
long time nimegich
lakini nika try kujiconvince
ati hauezi cheat
ona saa hii ni machozi
chorus
kama tu ni kukupenda wajua nilitry
kila siku nilikubembeleza mpezi unidai
ulichotaka nilitafuta pesa ilinikuwai
ukweli ni siwezi kukuweka mahali haudai
verse
utasare hio ring
nilikupa ile time kwa magoti
utasare everything
nilibuy kuku surprise si huyo other guy akusotingi
please
sare lies ati hujawai gai mi si ka pimbi
tears in my eyes tangu juzi
chorus
kama tu ni kukupenda wajua nilitry
kila siku nilikubembeleza mpezi unidai
ulichotaka nilitafuta pesa ilinikuwai
ukweli ni siwezi kukuweka mahali haudai
bridge
ulinichanganya ka selecta
kila kitu ulichotaka nilileta
kila kitu nilifanya kukuweka
moyo w_ngu ulikanyaga ka mkeka
mbona ulihepa bae?
si ulisema unanifeel
verse
i hope anaku mistreat
i hope anakaside piece kando kwa street
ndio ujue vile nilifeel
vile ulidecide kuniplay
na cry to this day, baby
still, na feel some typa way
na inacome na waves
sija heal
kila night and day nina fight within
chorus
kama tu ni kukupenda wajua nilitry
kila siku nilikubembeleza mpezi unidai
ulichotaka nilitafuta pesa ilinikuwai
ukweli ni siwezi kukuweka mahali haudai
كلمات أغنية عشوائية
- leviathan usa - what fresh hell كلمات أغنية
- leviathan usa - cut, with the night, into mine heart كلمات أغنية
- leviathan usa - a necessary mutilation كلمات أغنية
- leviathan usa - a bouquet of blood for skull كلمات أغنية
- leviathan usa colorado - not always lost كلمات أغنية
- leviathan usa colorado - disenchanted dreams (of conformity) كلمات أغنية
- leviathan usa colorado - speed kills كلمات أغنية
- leviathan usa colorado - census of stars كلمات أغنية
- leviathan usa colorado - pages of time كلمات أغنية
- leviathan usa colorado - madness endeavor كلمات أغنية