fitzon dai - wakati sahihi كلمات أغنية
mungu ninasababu ya kukuimba leo na utukufu wako
yote ulio tenda na yote uliosema yan_z_di kuweko
nimeona kila jambo na majira yake kwa makusudi yako
wakati wakuzaliwa, wakati wa kukufa ni makusudi yako
wakati wa kupanda,wakati wakuvuna ni makusudi yako
wakati wa kulia, wakati wa kucheka ni makusudi yako
wakati nanyamaza, wakati ninanena ni makusudi yako
wakati ninapenda,wakati nachukia ni makusudi yako
chorus:
usidharau wakati wa mungu ni wakati sahihi (wakati sahi..)
uwenda leo umekosa mlo,ni wakati sahihi (wakati sahi..)
ulipata kazi leo umesimamishwa ni wakati sahihi (wakati sahi..)
uwenda ndoa yako imefika mwisho,niwakati sahihi (wakati sahi.)
umewapoteza ndungu na marafiki ni wakati sahihi (wakati sahi.)
mashida zakuandama,usikate tamaa ni wakati sahihi ( wakati sahi )
wakati sahihi (wakati sahi)
ni wakati sahihi (wakati sahi). x4
kila kitu amekifanya mungu kwa wakati wake
tena karama ya mungu kila mtu awe na siku yake
kama ni shida,binadamu anashida viumbe wanashida
kama ni kifo, binadamu anakufa viumbe wanakufa
kama nichuki,binadamu anachuki
viumbe wanachuki
kama ni vita, binadamu wanavita viumbe wanavita
kama kupenda, binadamu anapenda,viumbe wanapenda
kama kusifu, binadamu anasifu
viumbe wanasifu
chorus:
usidharau wakati wa mungu ni wakati sahihi (wakati sahi..)
uwenda leo umekosa mlo,ni wakati sahihi (wakati sahi..)
ulipata kazi leo umesimamishwa ni wakati sahihi (wakati sahi..)
uwenda ndoa yako imefika mwisho,niwakati sahihi (wakati sahi.)
umewapoteza ndungu na marafiki ni wakati sahihi (wakati sahi.)
mashida zakuandama,usikate tamaa ni wakati sahihi ( wakati sahi )
wakati sahihi (wakati sahi)
ni wakati sahihi (wakati sahi). x4
كلمات أغنية عشوائية
- harley poe - class of '97 كلمات أغنية
- mili - blinda كلمات أغنية
- wiki - not today كلمات أغنية
- la hoàng phúc - quá khứ tìm lại كلمات أغنية
- wmmusic99 - tv (ft.aleko) كلمات أغنية
- geno samuel - take it slow كلمات أغنية
- bích phương - vâng anh đi đi (liu riu version) كلمات أغنية
- mo3 - wont let em كلمات أغنية
- stringstorm - tukayyid كلمات أغنية
- i hate myself because - hey كلمات أغنية