kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

fid q - utaua game كلمات الأغنية

Loading...

[intro: fid q & juma nature]
yeah
haina uf_gio

[verse 1: fid q & juma nature]
uh
kama haileti hela, basi hai_make sense
na (?) masela ‘mi nitakomaa na hizi tense
sinto sound garbage au ku_change suddenly
mi ni mjeshi, so naweza fight savagely
(aya)
expect nothing less (?) full victory
kila nikicheki mic ’najihisi ku_make history
j_po sio jigga ‘fid q ni [true kid]
naandika ka zavara, na sound ka [new kid]
cheki mysp_ce ‘nasifika hadi brooklyn
mi ndio king wa motherland; nauza mixtapes sio (?)
ambassador wa dance for life (?)
kuwa emcee ‘ni kama mfano wa kuigwa na hii jamii
sijisfi ili niogopwe na struggle bila makuzi (woo!)
mi kuwa real sichoki, sitoi bubble_gum music
(aya)
sijaanza ‘juzi au jana, mi music nafanya long time
wapuuzi wanaomba sana nisiuzwe, wakati na rhyme tamu
sitaki utajiri na omba mniazime masikio
haya ni zaidi ya mashahiri, please usizime redio
na ujua muziki zaidi ya nnavyo jijua
hadi nimekuwa kiasi hiki, ujue mbishi niliamua
[chorus: fid q & juma nature]
unaposema wеwe ni mkali
wakati (?) na redio zinakupa promo ya hatari, ‘unaua game
mnaposеma nyie ni wakali
wakati (?) na redio zinawapa promo ya hatari, ‘mnaua game
mnaua game
mnaua game,
(mnaua game)
unaua game
(unaua game, yeah)
mnaua game
(mnaua game)

[verse 2]
ushauri wao ulikuwa ni msafi lakini mifano yao ni mibovu
sasa glasi imekuwa almasi na copper imegeuka gold
kama utachoma miti hakikisha hauombi mvua
ukiishi kwa adabu, ukifa utazikwa kwa heshima chini ya jua (uh)
sipingwi upande huu, sishibi kwa picha ya mkate tu
wakati ndio huu, na hizi sio harakati tu
siamini kama commercial inaweza k_mkomboa emcee ‘lakini (?)
angalia kibao kisitoke mchuzi, chukuchuku hainogi
mayai hubaki kuwa meupe, j_pokuwa kuku haogi
tangu enzi na rap kwenye karaoke machine
hip_hop siku zote na mimi
niitose, imenikosea nini?

[chorus: fid q & juma nature]
unaposema wewe ni mkali
wakati (?) na redio zinakupa promo ya hatari, ‘unaua game
mnaposema nyie ni wakali
wakati (?) na redio zinawapa promo ya hatari, ‘mnaua game
mnaua game
mnaua game,
(mnaua game)
unaua game
(unaua game)
mnaua game
(mnaua game)
yeah

[verse 3]
(?) control fikra zenu kama tela_vision
hip_hop sio mayeno, huku sera haziishi
angalia ulicho andika kabla hujaanza ku_flow
siamini mbana pua anaweza kuwashika zaidi ya hard_core
kuna emcee, ma_rapper na wasanii wa hip_hop
na kuna ma_hustler ambao haiwalipi kama (?)
unataka kuwa emcee?
kwa hizi kanuni utatisha, verse utility, lyrics na industry impact, battle sk!lls, vocal presence na mwili wa kazi
[longevity] ‘uweze pia kufanya live performance
umeona, umenisoma; emcee wa kweli hitaji drugs
u_umeona, umenisoma; emcee wa kweli hitaji drugs
(unaposema)
we ni mkali, wakati (?) na redio zinakupa promo ya hatari, unaua game
mie nipo tayari kwa vita, sihiitaji ku_negotiate
usiseme wewe uko real, wakati unajijua ni fake
wachache ni ma_snitch, wana_diss huku wana_respect
street wanaomba peace, n_z_di ku_keep distance
kwanza hii sio hip_hop ‘mwanza huita “fid_hop”
na mi ndio mtaza_, n_i_a ‘kwa hits si stop
hii sio hip_hop ‘mwanza huita “fid_hop”
na mi ndio mtaza_, n_i_a ‘ku hit si stop
[chorus: fid q & juma nature]
unaposema wewe ni mkali
wakati (?) na redio zinakupa promo ya hatari, ‘unaua game
mnaposema nyie ni wakali
wakati (?) na redio zinawapa promo ya hatari, ‘mnaua game
mnaua game
mnaua game,
(mnaua game)
unaua game
(unaua game)
mnaua game
(mnaua game)
[post_chorus: fid q & juma nature]
unaposema wewe ni mkali
wakati (?) na redio zinakupa promo ya hatari
ha_ha_ha_ha_ha
mnaposema nyie ni wakali
wakati (?) na redio zinawapa promo ya hatari, ah
mnaua game
mnaua game,
(mnaua game)
unaua game
(unaua game)
mnaua game
(mnaua game)

ha_ha_ha_ha
mule, mure
wewe
aya

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...