kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

fid q - ole chizza كلمات الأغنية

Loading...

[verse 1: fid q]
palipo moshi pana moto, cheki shisha/
hapatoshi kwa huo mtoko, feki pisha/
naona pochi yenye noti hauwezi shika/
usinichoshe mi ni boss, mechi kwisha/
na ka ni rose rose nita graph bish/
nikilenga shot sikosi, uta-survive vipi??/
naenda mosi mosi sio kwa kasi bish/
sina low stock, simpi chance snitch/
sikuwa na p-ssport wala p-ssword/
au pin lakini mjini nika-crack code/
unataka kuwa mimi?? ahh.. basi foji/
hauna code, piga chini naitwa land lord/
hakuna mganga zaidi ya mungu, acheni ushamba washkaji/
msijitie gundu, kuweni wapambanaji/
kaza kamba, uweze kuwa in charge/
kenge hawi mamba,kwa kukesha ndani ya maji/

[hook: rosa ree & fid q]
ukiwa hey bebe hauwezi hustle ka mimi/
hauwezi we kuwa mi we kaa chini/
anhaa! mzee sifumbi macho usingizini/
vya bei ya chee we kaa navyo mi vya nini?/
ole x4 chizza x4
ole x4 chizza x4

[verse 2: fid q]
mi sijikwezi acha ukaksi, boss/
ukiona sipendezi rusha basi pochi/
mambo, yote kwa soksi/
dudu bongo du kinaa mzaa huzaa mkosi/
umaskini sio dhambi, j-po sio jambo jema/
haupati manzi ukiwa hauna jambo, yaani ndio basi tena/

[hook: rosa ree]
mi ni mjeshi, kwenda race sioni kesi kid/
bila cash, hauwi freshi hauiwezi league/

[verse 3: fid q]
baby girl, unahitaji kuni please, nataka nile shot kama kennedy/
uko na desperate disease, na mimi ndio ile dangerous remedy/
laana sij-pewa, kutwa ninaombewa na mama/
ukinipa mihadi hewa, mi nachukua hatua chanya/
na sijawahi jivika umasihi/
makuzi hayafai ndio maana baba wa taifa alificha cv/

[hook: rosa ree & fid q]
ukiwa hey bebe hauwezi hustle ka mimi/
hauwezi we kuwa mi kaa chini/
anhaa! mzee sifumbi macho usingizini/
vya bei ya chee we kaa navyo mi vya nini?/
ole x4 chizza x4
ole x4 chizza x4

[verse 3: fid q]
er day, they ask how am doing/
nawauliza kwenda kasi nyie hamjui?/
hamkui?? hamkui kui, dafu hamfui/
gamba nyeupe na nyeusi kama chui/

[hook: rosa ree]
fresh after death, mi ndio king wa ma queen/
you better take a bow, whenever i’m coming in/
hata wakisema mi n-z-di tu kuwin/
wana hate the stage, hawana budi ku sing/
anhaaaa.!

[outro: fid q & rosa ree]
ole x4 chizza x4
ole x4 chizza x4
ole x4 chizza x4
ole x4 chizza x4

wanene

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...