
fena gitu - siri كلمات أغنية
sitaki mimi kufanya makosa
penzi hili linafanya nakosa huh
sikiri, nikikiri siri
nitadhiri wawili
akili zitaoza
marafiki watazidi ongea
wanafiki wazidi kuombewa
usikiri, usikiri siri
wacha ibaki hivi, kati wewe na mimi
hivi ndivo naona
vile naona
hivi ndivo naona
vile naona
usikiri siri, usikiri siri
ukikiri siri, usikiri siri
hivi ndivo naona
vile naona
keep it between me and you
n0body affi know what we do
are we fooling around, are we cheating?
but your forbidden fruit so sweet
i wanna scream it out loud
everytime you take it down low
on the low, on the low
usikiri siri, usikiri siri
ukikiri siri, usikiri siri
hivi ndivo naona
vile naiona
ona vile nai, ona vile nai
ona vile nai, naiona vile nai
ona vile nai, ona vile nai
ona vile nai, naiona vile nai
ona vile nai, ona vile nai
ona vile nai, naiona vile nai
ona vile nai, ona vile nai
ona vile nai, naiona vile nai
كلمات أغنية عشوائية
- obie trice - don't be switching it up كلمات أغنية
- robert pollard - 1000 royalty street كلمات أغنية
- dad feels - no kiss you كلمات أغنية
- donutman - 4 كلمات أغنية
- ultimate call - praise and lift you high كلمات أغنية
- wayne ray chavis - long feathered chickens don't dance in the gumbo mud كلمات أغنية
- four seven - nie so wie mein held كلمات أغنية
- la adictiva banda san josé de mesillas - la fiesta en acción كلمات أغنية
- rammuz - awake كلمات أغنية
- das pack - zu lang كلمات أغنية