femi one - vako كلمات الأغنية
(ricco beats mr 808)
vako ni moto na usiwai force
vako ni genje ni zile za kiboss
vako ni moto na si ni full course
vako ni genje ni zile za kiboss
cheza kama uko happy tonight
ringa kama uko happy today
cheza kama uko happy tonight
mmmh! ringa kama uko happy today
naingia kwenye baesa warazi wanashtuka
mabazu na watoto wanagutuka
maregular wa local wanafuf_ka
tunawaka ka moto ya gascooker
mama pima nina doh hapa anapima
kabla kabla tunakula choma na sima
zainabu na dera na makucha za henna
nimewasili na jeshi wamepause ndani ya bima
sipost mabunda kwa insta siringi
nywele ni ya beca farifari mashilingi
50 plus 50 ndio hesabu ya ligi
vako ni moto na usiwai force
vako ni genje ni zile za kiboss
vako ni moto na si ni full course
vako ni genje ni zile za kiboss
cheza kama uko happy tonight
ringa kama uko happy today
cheza kama uko happy tonight
mmmh! ringa kama uko happy today
so far solatido
voodoo naisongeza more than before
usijali the bill andika for wanjiku
we itisha nitalipa na iko kwa mpigo
chaser ongeza, meza ongeza
tequila na ndimu na kachumvi ndo nameza
yeah nafeel s_xy tonight
natafuta makmende anadhani ataweza
higher than the most, higher than thou
meza iko na hennessy na remy kibao
watiaji wasishikwe wawache washike zao
na wakileta vurugu si watakula mafoul
vako ni moto na usiwai force
vako ni genje ni zile za kiboss
vako ni moto na si ni full course
vako ni genje ni zile za kiboss
cheza kama uko happy tonight
ringa kama uko happy today
cheza kama uko happy tonight
mmmh! ringa kama uko happy today
mmmh moto, mmmh genje
mmmh moto, mmmh genje
cheza kama uko
cheza kama uko
vako ni moto na usiwai force
vako ni genje ni zile za kiboss
vako ni moto na si ni full course
vako ni genje ni zile za kiboss
cheza kama uko happy tonight
ringa kama uko happy today
cheza kama uko happy tonight
mmmh! ringa kama uko happy today
vako ni moto na usiwai force
vako ni genje ni zile za kiboss
vako ni moto na si ni full course
vako ni genje ni zile za kiboss
cheza kama uko happy tonight
ringa kama uko happy today
cheza kama uko happy tonight
mmmh! ringa kama uko happy today
كلمات أغنية عشوائية
- weston super maim - the bare maximum كلمات الأغنية
- dannyshoinz - rethinking كلمات الأغنية
- vonka - webcam вебкам كلمات الأغنية
- twiztid - my underground كلمات الأغنية
- lil pink (ukr) - я досі брешу (i'm still lying) كلمات الأغنية
- cyn cwsg - asgwrn newydd كلمات الأغنية
- caity baser - bicker كلمات الأغنية
- albert hammond - another heart to break كلمات الأغنية
- olivia king - stressed out كلمات الأغنية
- pvscale - pretty gurlz كلمات الأغنية