
femi one - rahisi كلمات أغنية
verse: (femi one)
naskia fununu chemi chemi za mitaa
wameshindwa kunihandle wanasema femi’n star akuna news apa unoma mi inakw_nga imenifaa..
queen tangu roma ichukue league ya serie a _
mkiwa juu ya kemikal na mashimi shimi ya skss skss minko rikoo nawapikia mabidhaa
mama yao nmelelewa na zakaa wa ukoo flan
mi ndo culture na ndo maana mi na wao hatsikilizan
naifanya easy uski nai fanya rahisi
game nimekafunga ndo ni shamba ya rizki uno ka nko ndani ujue inakw_nga mazishi
naikula, naikunywa na naiwasha na zigi
nak_mbuka tukikopa mapeni
leo naquote mamita kuwaroga wikendi
hii mchezo nilianzanga bila kocha na jezi
femi one mama theirs na nasonga vimessi
chorus ;
raisiiiii naifanya rahisi …
stingo zangu different kama jersey ya keeper
quality consistent cheki kazi inajipa
mashabik nna kibao unaeza dhani madiba
n’julikana sekta zote mashinani naskika _
mr.punchlines, mi ni ka mandonga na strong hook
n’shakata mafala na manyoka kwa phone book
kateenager kako na title deed na log book
nyi mlikwa mnastikisha wasanii kwa song book (huh)
k_mechemka na your favourite star
trio mio, nani alidhani ningemake this far? _
niliwaachia kalesa nimepull ndani ya kcr
the boy is sick wanafaa wan’peleke mp shah…
nak_mbuka tukisota madeni
leo nachapa interviews nabonga na wengi
mechi nilianzanga bila kocha na jezi kakijana machachari nawatoka vimessy _
rahiiiiiiisi
كلمات أغنية عشوائية
- veeiye - forbidden fruit كلمات أغنية
- lofofora - troubadour كلمات أغنية
- אביב גפן - regaim - רגעים - aviv geffen كلمات أغنية
- wiley - take a picture (remix) كلمات أغنية
- xr - killer كلمات أغنية
- diamond plantnumz - i want to marry you كلمات أغنية
- nima nimosh - varagh كلمات أغنية
- talk °fahrenheit - i don’t owe you كلمات أغنية
- kraffa - апатия كلمات أغنية
- al bowlly - over the rainbow كلمات أغنية