kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

femi one - excuse my french كلمات الأغنية

Loading...

verse 1:

yeah..
waliona simba imenyeshewa wakadhania ni paka ya nyumba
ng’a! wakamangwa dharura
saizi wamekaa kwa ambulance… [wiu! wiu! wiu!]
giggle

angalia upuzi
nanii haamuki
hali mahututi
yaani kwa ufupi _ ukija vibaya unaezwa fanyiwa ujuzi ayyyy

skwodi ni… tight
juu ya phone all night
mi na kaka em every day tupo site _ tukibonga mikakati
suti za versace na cufflinks_

bossy
hugo juu ya ngozi
smellin all saucy
neck is on frosty
nak_mbuka siku zenye msosi ilwaga costly
leo nakula sushi! _ what it gon cost me?
(cost me)
nlkuanga naandikia beat na unenge
unaeza tell juu naspit na uzembe
sijadishi tangu siz anijenge
kisoh nkajifikisha kwa rick wa madebe
saizi nina ngiri nich kwa empepe ya bundles ingine kwenye jeans kuna venye

syezi ngoja hawa mab_tch wanipende
nianze kunyonywa na maleech na mamende

hook:

oooooh
excuse my french
tendency to lose my sense
niko juu ya come up and i’m paying all the dues myself
lemme introduce myself

oooooh
excuse my french
tendency to lose my sense
niko juu ya come up and i’m paying all the dues myself
lemme introduce myself

verse:
very sick na najua mmecheki symptoms
me ndio reason a ma rapper wana seem soft
dennis pritt ndan’ya whip nikirespond
nna receipts wanasimp pale inbox

(oooh) staki risto
skiza mbleina akibonga juu ya hip hop
ni the audacity kunieka na mawannbe mcee wamedevelop personality kwa tik tok…
first hit tippy toe feat kristoff
meet a young queen still sk!ll’lwaga tip top _
nikachange scene industry ilwaga switched off…
femcee juu ya list ya ma hitsong
pesa ni fit
tumemake mill na maenergy drink
mi na watiaji, never in sync
kutumia akili akuna membership fee
watu macartoon kama sesame street

hook:

oooooh
excuse my french
tendency to lose my sense
niko juu ya come up and i’m paying all the dues myself
lemme introduce myself
oooooh
excuse my french
tendency to lose my sense
niko juu ya come up and i’m paying all the dues myself
lemme introduce myself

verse 3:

taja rapper akona views over ten em
ni bidii na consistency ya ten men
ka unataka journey easy kuwa ben ten
ata masponsi upiga tizi kujimaintain _

too d_mn clean
move ka queen
nyiungiza baridi minna flu vaccine
miutema martini na nadrool caffeine
nani kama mimi tuko through that scene _

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...