femi one - 100 bob كلمات الأغنية
(ricco beats mr 808)
okay fine, i have a 100 bob in my pocket
a 100 bob in my pocket
a 100 bob in my pocket
ndio manake, ndio manake
ndio manake, basi twende tukawake
ndio manake, ndio manake
ndio manake, basi twende tukawake
basi twende tukawake huko nairobi west
ama pande gani ndio pombe ni best
nyake ni best na machali wabest
na madem wanapendaga kuzungusha waist
cheza na e_sir ama manu dibango
bado n_z_toka na ngoma za kitambo
ata ki latino tuna baila bailando
natupa mikono juu naweka shida kando
kama bado waist iko kunjaga mifupa
kama bill hulipi usikunywage na pupa
chezanga na rubber ka hamfungangi maduka
na usiulize ni ngapi si huhesabu machupa
okay fine, i have a 100 bob in my pocket
ndio manake, ndio manake
ndio manakе, basi twende tukawake
ndio manakе, ndio manake
ndio manake, basi twende tukawake
life ni kutafuta sio kutafutana
lakini leo itabidi tumetafutana
pamba safi dancefloor ni chafu sana
si pale kwa vinywaji ndio tunakutana
tunachoma liver dry fry
vile tuko high utadhani ni si_fi
kushukisha mizuka ya masela haifai
kushikisha mavela na mafella, why lie
huku nairobi tunapendaga kuhanya na kuparty
mchele ni ya mafala wanakuw_nga w_ngati
usiulize ni ngapi we niambie mko w_ngapi
uko single tunamingle na maodi na mababi wee
okay fine, i have a 100 bob in my pocket
ndio manake, ndio manake
ndio manake, basi twende tukawake
ndio manake, ndio manake
ndio manake, basi twende tukawake
my crew hubabanga
cheki vile life tunakulanga
mziki ni dawa mi ni mganga_nga
so relax be free freelanga
my crew hubabanga
cheki vile life tunakulanga
mziki ni dawa mi ni mganga_nga
so relax be free freelanga
ndio manake, ndio manake
ndio manake, basi twende tukawake
ndio manake, ndio manake
ndio manake, basi twende tukawake
ndio manake, ndio manake
ndio manake, basi twende tukawake
ndio manake, ndio manake
ndio manake, basi twende tukawake
كلمات أغنية عشوائية
- andiroo - royalty ii كلمات الأغنية
- broederliefde - appel mint puur كلمات الأغنية
- choi seong (최성) - 좀비라이프 (zombie life) كلمات الأغنية
- bony macaroni - marissa كلمات الأغنية
- wild talk - lips that kill كلمات الأغنية
- tis l - meine sind gut كلمات الأغنية
- hub city worship - highest king كلمات الأغنية
- manu gavassi - memories كلمات الأغنية
- nerose - crazy life كلمات الأغنية
- shen b - rok lo كلمات الأغنية