kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

emmanuel mgogo – msikilize mungu كلمات اغاني

Loading...

(nabii elijah, aliwaita manabii wote
wa mungu baali)x2
lengo la elija

ilikuwa ni k-mthibitisha mungu wa kweli ni yupi
kati ya mungu wa baali, na mungu wa mbinguni
(elijah)x2, akawambia watu nikaribieni mimi
akachukua mawe k-mi na mbili akaanza kujenga madhabau
akaweka kuni juu yake
akaweka sadaka juu yake
akachimba mfereji
akawambia watu mwageni maji mapipa manne
wakamwaga maji mara ya kwanza
wakamwaga maji mara ya pili
wakamwaga maji mara ya tatu
elijah, akaanza k-muita mungu
mungu wa mbinguni (we mungu)x2
(mungu wa mbinguni naijulikane kuwa upo)x2
moto ukashuka, ukaramba ile sadaka
ukaramba zile kuni, ukaramba na yale mawe
ukaramba na yale mavuno
ukaramba na yale maji, watu wakasujudu
wakasema huyu ndiye mungu
anayepaswa kuabudiwa
ndiye mungu ninaye mwimbia mungu wa elijah
oooh mungu
(mungu ni mungu tu, atabaki kuwa mungu tu)
ooh mungu baba
huyu mungu wa mbinguni jamani
huyu mungu wa elijah
maishani mwako mama yangu wee
mahali pote unapotembea
ata wainuke wamseme vibaya
ata wamkatae mbele yako
na wewe ndugu yangu
unayenisikia, unaye nitazama
(unaona nini mbele yako)x2
pengine unaona majaribu
haujui utafanya nini
we mkaribie mungu tu
pengine unaona magonjwa
haujui utapona lini we mkaribie mungu tu
pengine unaona vita kubwa
haujui utashinda vipi, we mkaribie mungu tu
pengine unaona watesi
haujui utapita vipi, we mkaribie mungu tu
pengine ni jaribu katika ndoa yako
haujui utashinda vipi
we mkaribie mungu tu
(hakuna linaloshidikana kwake mungu)x4
aliyemshindia elijah
katikati manabii wa baali atakushindia
na wewe …
wanadamu wamekusemea maneno
kwamba hautaweza, katika jaribu lako
wanadamu wamekusemea maneno
kwamba hautashinda katika vita yako
k-mbe(njia za mungu, sio sawa na za mwanadamu)x2
mipango ya mungu, sio sawa na ya mwanadamu
akili ya mungu, sio sawa na ya mwanadamu
maneno ya mungu, sio sawa na ya mwanadamu
mawazo ya mungu, sio sawa na ya mwanadamu
kazi ya mungu, sio sawa na ya mwanadamu
sauti ya mungu, sio sawa na ya mwanadamu
aliye mshindia elijah
katikati ya manabii wa baali
atakushindia na wewe ……
(refrain)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...