ezzy skillz - kisura كلمات الأغنية
intro:
unpredictable g*nius
ouwoooh ouuuh ouwoh ooh
ah ah ah (kisura)
mikono
verse i:
now when i look at angani…naona nyota mbalamwezi/
moyo nliuweka rehani…kwa kuendekeza mapenzi/
nlishakuvisha vyeo…sikuamini siku ungesepa/ but
leo umeniacha peke yangu nateseka
ahadi zako maji ya upupu…ulinimwagia nawashwa/
najihisi niko mtupu…siyo siri umenzima data/
taswira imepotea…ni vipi ntaiona kesho/
why?
moyo w-ngu uliuchezea…nami nlikufanya special/
nliomba samahani…hata uliponikosea/
ili tuwe na amani ndani…mwisho haukucheza fair/
muda nlikupatia…upendo nkapima lumbesa/
cha ajabu haukuzingatia…uliwaza vogue na chaser/
maneno waliniambia…sikuyatilia maanani/
walitabiri utankimbia…kw-ngu nliona kama utani/
kiburi cha pesa…na bata za mpito/
vikakufanya ukasepa…ukaniacha na mzigo mzito/
chorus: [hamadai]
nshaona wengi wakilia tu…
skujua wanaumizwa na nini
k-mbe kuna watu na viatu…
leo yamenikuta na mimi
tatizo moyo… (moyoooo)
nilimpa vyote bila kujua mie…
na vile skuwa na choyo… (choyoooo)
huruma yangu leo ndiyo imeniponza mie…
verse ii:
ulinifata ukilia…ukaniomba tuwe pamoja/
story yako ukanihadithia…siyo siri nkasema ngoja/
siwezi ongopa…nilikuona mw-nga k-mbe kiza/
sometimes hadi nlikopa…machache niweze timiza/
hauk-mbuki nyuma…maana hisia zako ni zero/
jinsi nlivyojituma…ilibidi we uniite hero/
but all good…maisha yana change/
sisemi stopenda tena..maana umenifunza mengi/
(bado good…) maisha yana change sisemi stipenda tena…(maana amenifunza mengi mimi)/
nimeshtuka…kuona unanifikiria/
ila siwezi kujuta maana ni mengi tumeyapitia/
washkaji waliniambia…sikuyatilia maanani/
waliamini utanikimbia…kw-ngu nliona kama utani/
kiburi cha pesa…na bata za mpito/
vikakufanya ukasepa…ukaniacha na mzigo mzigo/
chorus: [hamadai]
nshaona wengi wakilia tu…
skujua wanaumizwa na nini
k-mbe kuna watu na viatu…
leo yamenikuta na mimi
tatizo moyo… (moyoooo)
nilimpa vyote bila kujua mie…
na vile skuwa na choyo… (choyoooo)
huruma yangu leo ndiyo imeniponza mie…
bridge: [hamadai]
moyo…. oooh…heeey heeeh
moyo… ndiyo umeniponza mie/
wuooh wuooh wuoooh
wuuuh woooh wooh woooh..
yanaumiza… ( moyooo)
yanachoma aaah haaa ahhh
yanaumiza…. (choyooo)
wuooh wuooh wuoooh
wuuuh woooh wooh woooh..
god and music
ouwooooh
ezzy sk!llz
sikua na choyoo
hamadai
uuuh
mikono
كلمات أغنية عشوائية
- abstract - fan girl كلمات الأغنية
- scotti2naughti & fetti fuego - blur كلمات الأغنية
- kris angelis - kevin bacon كلمات الأغنية
- roupa nova - a lenda كلمات الأغنية
- sherman edwards - molasses to rum (1776) كلمات الأغنية
- sean rowe (rapper) - no stress كلمات الأغنية
- john anderson - i can't take another heartache كلمات الأغنية
- malcom mufunde - chatsworth كلمات الأغنية
- kid kern, alexanderswrld - coronas كلمات الأغنية
- yung toutou - eight racks كلمات الأغنية