kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

eve bahati - umenifaa كلمات الأغنية

Loading...

aiiiiiii heeee he
wanifaa wanifaa
still alive
ulinifia msalabani yesu unanifaa
ulimwaga damu yako mi nipone unanifaa
ulishuka kuzumu eeeh eeh
ukamnyanganya shetani funguo eeh eh eeeh
ulisema yamekwisha
neno la bwana linasema tafuteni mungu
na hayo mengine jamani mtazidishiwa

unanifaa

amina amina nawaambia mtu hawezi kufika kwake ila kwa njia yake yesu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...