
ethic entertainment - zama lyrics
mtu nako sikatai
mbona anitext badmanners
mbona nikose kureply
na ananitext bad manners
wakiuliza nini mi hufanya mi hujitepa
anyday nina maganji mi hujitepa
sa mbona nikudanganye jo
ka niko na…
shidangu ni ka niko paper
na sina kitu ya kufanya
mi hujichocha alafu naingia bar
naingia bar na kujitepa
zikishuka zinapanda
balance bana ndo inamisbehave
nikicheki mmh aah, mamu
usiniite ndu, ndugu
niite sh_tupu, puru
nilishe tu kitam sa, sambu
master w_ngu
ka uko karibu kam kwa mguu
niiite gsu tu rungu
nimeivisha move ya sansu
shidangu ni ka niko paper
na sina kitu ya kufanya
mi hujichocha alafu naingia bar
naingia bar na kujitepa
zikishuka zinapanda
balance bana ndo inamisbehave
nikicheki mmh aah, mmh aah
thao bana imezama
mmmh, zama, thao bana imedip
mmmh aah, mmh ahh, thao k_mi bana imezama
mmmh aah, mmh ahh, thao k_mi bana imedip
bado si wife, hii maisha ashanipangia
na bado kanaplan vile tu katanizalia
nifanye nini na vile ni ka pretty pretty
nikifika mtaa kanakuwa kashanivulia
kunipikia na cladi kunianulia
ata magenge nakwambia kananiimbia
si ni ka jackpot nakwambia nimeangukia
haka hamnigongei itabidi nimеshikilia
si kila saa anataka kunikaribia
na si ni sharp pia anataka kunipandisia
figa imeweza nakwambia akiinama
anapenda god mi nakwambia kamеbarikiwa
wakiuliza nini mi hufanya, mi hujitepa
anyday mi nina maganji ni kujitepa
sa mbona nikudanganye bro
ka niko na ganji na mi silali
shidangu ni ka niko paper
na sina kitu ya kufanya
mi hujichocha alafu naingia bar
naingia bar na kujitepa
zikishuka zinapanda
balance bana ndo inamisbehave
nikicheki mmh aah, mmh aah
thao bana imezama
mmmh, zama, thao bana imedip
mmmh aah, mmh ahh, thao k_mi bana imezama
mmmh aah, mmh ahh, thao k_mi bana imedip
navuta ngwai na niko kando ya kanisa
meno ni mingi kuliko fuliza limit
leo nakata chingi nabanjuka na machupa
sitaki mutu leo mutu w_ngu aluta
ka, ka sijatoka leo ni kaveve na gunga
hatuko runda lakini zimetaruka
the only thing privacy nyap ni kidney
nanuka jasho nikisaka za marashi
shidangu ni ka niko paper
na sina kitu ya kufanya
mi hujichocha alafu naingia bar
naingia bar na kujitepa
zikishuka zinapanda
balance bana ndo inamisbehave
nikicheki mmh aah, mmh aah
thao bana imezama
mmmh, zama, thao bana imedip
mmmh aah, mmh ahh, thao k_mi bana imezama
mmmh aah, mmh ahh, thao k_mi bana imedip
mtu nako sikatai
mbona anitext badmanners
mbona nikose kureply
na ananitext bad manners
mtu nako sikatai
mbona anitext badmanners
mbona nikose kureply
na ananitext bad manners
Random Lyrics
- gotye - eyes wide open lyrics
- hunter hayes - love makes me lyrics
- the cab - bad lyrics
- falling in reverse - sink or swim lyrics
- chris brown - ladies love me lyrics
- luke bryan - don't want this night to end lyrics
- switchfoot - restless lyrics
- redlight king - comeback lyrics
- kid cudi - no one believes me lyrics
- chris brown - private dancer lyrics