ethic entertainment - saba كلمات أغنية
[intro;]
wagwan… kufisia alama jo kama mbeibe amebeba
shika mkono ufikishe mpaka kwa keja
kuta vitu mpaka jirani akateta
wape wape wape wape…
[hook]
hakuna bleki buda na kata maji mpaka che
hapa msupa jo hakuna smama ni kubend
na ma waiter buda wamesleki sana jo kize
wape wape wape wape…
basi mbeibe nipe saba ukiinama
saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
nipe saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
saba ukiinama
swat;verse 1
nikimdigi fiti nacheki jo amebeba
niko macho kwake niko ma handas ketepa\
chapanisha kuni ibaki mebeide amesepa
ni madiva tu n aka we dimanga pereka
hakuna kushare jo fisi akika ngorea
top layer alaa a man a gyalis sorea
on air balance na ureverse orea leo lazma katambe, orea orea
[hook]
hakuna bleki buda na kata maji mpaka che
hapa msupa jo hakuna smama ni kubend
na ma waiter buda wamesleki sana jo kize
wape wape wape wape…
basi mbeibe nipe saba ukiinama
saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
nipe saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
saba ukiinamasaba ukiinama , saba ukiinama
zilla;verse 2
cheki niko maji zimeshika juu wadhi
dunda ni kudunda tunadunda mpaka di
shika manzi fiti akikubali jo unaplead
kama ni k-mdigi ni k-mdigi juu ya meza
cheki na kamsupa kama ngwati nakata
daily ni kusele ata mambanga kwa nganya
msupa aki downtown akichochwa anapanada
anasmama anarombosa kiuno haga kuwamurder
[hook]
hakuna bleki buda na kata maji mpaka che
hapa msupa jo hakuna smama ni kubend
na ma waiter buda wamesleki sana jo kize
wape wape wape wape…
basi mbeibe nipe saba ukiinama
saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
nipe saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
saba ukiinama
seska;verse 3
ukiinama niko dryspell miezi kadhaa
umejaza nyuma kama taxin ya wariaa
kutu imejaa na siezi fika bei ya samantha
pia ukikaza mi nta ora ntadandia
mi natasha kina flora na maria
ukirombosa mi na kosa amani … aaa
na kuna number ukichora ntapandia
na kuta haraka hakuna doz na kwamilia
[hook]
hakuna bleki buda na kata maji mpaka che
hapa msupa jo hakuna smama ni kubend
na ma waiter buda wamesleki sana jo kize
wape wape wape wape…
basi mbeibe nipe saba ukiinama
saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
nipe saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
saba ukiinama
كلمات أغنية عشوائية
- sínkope - tentacion كلمات أغنية
- mão morta - hipótese do suícidio كلمات أغنية
- patokalipsa - raz kozie śmierć كلمات أغنية
- la séptima banda - el chavo كلمات أغنية
- shayea - ahle naa ahli كلمات أغنية
- la dinastia de tuzantla mich - te seguiré كلمات أغنية
- jordaan mason - evidence كلمات أغنية
- dafina zeqiri - alo كلمات أغنية
- joel santos - al diablo كلمات أغنية
- les brown - ramona كلمات أغنية