kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ethan muziki - maziwa كلمات الأغنية

Loading...

kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari

mlango w_ngu uko wazi
sina siri zakuficha
nimegundua wasiwasi
ndiyo ya nisimamisha
kupepea, ninajisimamisha
kupepea, nitajirekebisha

kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari
kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari

kuna majambazi
wanajaribu kunitisha
wamekita kambi
wakichungulia kwa dirisha
ngojea, natafuta pesa niwahonge
pesa onge
ngojea, mlango wazi msigonge
kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari
kuna maziwa
kuna maziwa
mwisho wa safari

safari, i’m still far away
still far away
i’m still far away
safari, i’m still far away
still far away
i’m still far

natarajia kuna maziwa
mwisho wa safari

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...