kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

eric maingi - ahadi lyrics

Loading...

viko wapi vile vitu ulisema utavileta
wapi ahadi ulisema utatekeleza
yuko wapi yule mjomba ulisema utanionyesha
na wapi manukato ulisema utatengeneza

umeahidi, ukaahidi
bado hujatekeleza
itanibidi, itanibidi
mimi kukuondokea

jana ulitoka mapema
ukasema kuna jambo limetokea
chai kikaachwa kwenye meza
na gari likafuata bendera
nilipofuatilia
ikakuwa ni umbea
ukalipuka hasira ya kulewa
ukatamka maneno fedheha
na baada yaliyotokea
ukasema unanipenda

ahadi yako kweli
ni ahadi ya kufeli
ahadi yako kweli
ni ahadi ya kufeli
ahadi yako kweli
ni ahadi ya kufeli
ahadi yako kweli
ni ahadi ya kufeli
ahadi yako kweli (umeahidi, ukaahidi)
ni ahadi ya kufeli (bado hujatekeleza)
ahadi yako kweli (itanibidi, itanibidi)
ni ahadi ya kufel (mimi kukuondokea)
ahadi yako kweli (umeahidi, ukaahidi)
ni ahadi ya kufeli (bado hujatekeleza)
ahadi yako kweli (itanibidi, itanibidi)
ni ahadi ya kufeli (mimi kukuondokea)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...