kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

elani - barua ya dunia كلمات الأغنية

Loading...

[verse 1: brian chweya]
hujambo salam dunia
ni siku nyingi hatujaongea
hizi enzi
mbona huna penzi

[wambizzy]
nimekuandikia barua
ningeweza ningekupigia
geti kali, inalia
machozi ya sifa

[hook]
usinilenge, juu siku moja nitakulenga pia
usinicheke, juu siku moja nitakucheka pia
bobea bobea, bobea bobea
ngojea nita bobea pia
bobea bobea, bobea bobea
ngojea nitabobea pia

[verse 2]
sina mengi ya kusimulia
ila tu ni barua ya dunia
aaaahh… barua..
mashinani w-n-lia lia
umri ndio huo, uzee unaingia
sina fedha, hisia wala njia eh
ya kujitafutia
nikimalizia barua, geti kali uwe na huruma
mraia -n-lia, machozi ya simba

[hook]

[bridge]
sina mengi ya kusimulia..
barua ya dunia…
mbona hukunijalia, dunia….

[hook]

[outro: brian chweya]
sina mengi ya kusimulia
barua ya dunia, barua….

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...