
el klassik band - kasongo كلمات أغنية

“kasongo” is a fiery and unapologetic kalpop anthem that takes aim at political oppression, corruption, and social injustice. with its infectious rhythm, catchy hooks, and hard_hitting lyrics, the track blends the powerful storytelling of afrobeat with the rebellious energy of sebene_infused kalpop
el klassik band, alongside don santo (@kingdonsanto) and sleek whizz (@sleekwhizz), delivers a bold critique of leadership failures, addressing issues like economic inequality, youth disenfranchis_m_nt, and systemic corruption. sung in a vibrant mix of swahili, sheng, and lingala, “kasongo” captures the pulse of a rеstless generation dеmanding change
the track’s compelling blend of satire, resilience, and cultural pride makes it both a protest anthem and a celebration of the indomitable spirit of the people. with lines like “kenya sio shamba la bibi yako!” and “nyota zetu un_z_ma kwa risasi,” the song becomes a rallying cry for justice and accountability, proving once again that el klassik band is not just making music—they’re starting movements
get ready to chant, dance, and reflect as “kasongo” spreads its powerful “#bandemic” vibes across borders!
produced by: @blameitondon
record label: klassik nation @klassiknation
the lyrics:
bpm: 109
[verse 1: don santo]
kasongo yeye, iye!
bwana wa kusema bila kutenda, oya président na ngai
kasongo wewe, iye! yeah iye!
lakini matendo yako ni ngano za kusimuliwa kwa hofu
umejawa uongo, hata hatukuhofu
kichwa nacho ujeuri, hata kwa madhabahu
watoto nchi wanapotea bila sababu
wengine wana majeraha ya roho na mwili
[pre_chorus]
nyota
za vijana zimezimwa kwa risasi
huku wazazi ni stressi
tunasema you must go
mchaka mchaka!
[chorus]
kasongo! kasongo! kasongo!
kenya sio shamba la bibi yako!
kenya sio makalio yako!
kasongo! kasongo! kasongo!
sisi tutakuaibisha bonzo!
na tena hatuogopi kifo!
[verse 2: sleek whizz]
mwenzako sina hela
mwenzako kateseka
huku najengewa
kwengine ninabomolewa
sina pa kulala, mwenzako naibiwa mchana!
natamani kulewa lakini mf_ko ni hewa
mr. kasongo, unapenda uongo! x 2
it’s the way that you lie, lie bila haya
hakuna kazi, waheshimiwa hawafanyi kazi! (mr. kasongo, unapenda uongo!)
wafanyikazi, na wengi hawaoni ganji
[chorus]
kasongo! kasongo! kasongo!
oh, batoto ba klassik
kasongo! kasongo! kasongo!
[verse 3: don santo]
na kalpop oyo, tozongisa makoki ya mboka, ee!
(with this kalpop, we are reclaiming the rights of our nation!)
oyé kasongo, na bozalí ya lokuta, kasí mbóka ezali ya bato!
(oh kasongo, with your lies, but the country belongs to the people!)
boíndima te! soki tokolɛla, tokolɛla na ndéngé!
(don’t accept this! if we cry, we cry with style!)
kasongo! kasongo! kasongo!
kasongo, bolingo té!
(kasongo, no love!)
kenya sio shama la bibi yako, yoyoyo!
kasongo! kasongo! kasongo!
[pre_chorus]
buana
nyota zetu un_z_ma kwa risasi
huku wazazi ni stressi
tunasema you must go
mchaka mchaka!
[chorus]
kasongo! kasongo! kasongo!
kenya sio shamba la bibi yako! yeah
kenya sio matako yako, baba!
kasongo! kasongo! kasongo!
tututu!
chaka ah ah! chiki ah ah!
bana ba klassik, banapendaga kalpop!”
(klassikans love kalpop!)
and that’s kalpop!”
كلمات أغنية عشوائية
- juice wrld - juice wrld - tears (full session edit) كلمات أغنية
- jaz karis - too soon كلمات أغنية
- młode jajo - narazie كلمات أغنية
- skaldowie - zgadzam się na ten świat كلمات أغنية
- ventricide - ready aim fire كلمات أغنية
- brass camel - another day كلمات أغنية
- love spirals downwards - will it ever be the same (vip mix) كلمات أغنية
- lagoinha worship - acreditar كلمات أغنية
- blp kosher - lunch break freestyle كلمات أغنية
- tamtam - laa laa كلمات أغنية