eddy bleyz - marafiki كلمات أغنية
[intro]
instrumental playing…
[chorus]
sisi ni marafiki
tumepitia dhiki
hatupendi unafiki
yauzushi maushuzi
si tupige miluzi
[verse 1]
jua likich0m_za ingia chaka
saka pesa
night tusake chimbo
mwendo wa glass, ni kukesha
oya we ni ubad
mwendo wa gambe bila idadi
tukishakunywa maji
yaani hatuelewi
tunaruka aeeeh!!
kama unamoka, umoke
kama unadanga, lidange
mwendo wa majoka ni pambe
hakuna kuchoka tuimbe
[instrumental break]
[chorus]
sisi ni marafiki
tumepitia dhiki
hatupendi unafiki
yauzushi maushuzi
si tupige miluzi
sisi ni marafiki
tumepitia dhiki
hatupendi unafiki
yauzushi maushuzi
si tupige miluzi
[verse 2]
nachokipata
nagawana na wenzangu
maskini zaidi yangu
wenye shida kama zangu
oya waiter, shusha bapa
kisha bili leta hapa
eeeeh!!
kinamna eeeh!!
tujitafute tutajipata
sakanya kila chimbo, kila chaka
mbona swadata
naimani tutapata
huu mwaka hautopita
majumba mengi, magari mengi
kila mtu atashika
mi nataka tufurahi, tujidai
kwa manyama, machipsi, divai
leo bata, tuko vibe
watu wote wamelewa hawafai
tilalila, tilali
tilalila, chakari
tilalila, tilali
tilalila!!
[chorus]
sisi ni marafiki
tumepitia dhiki
hatupendi unafiki
yauzushi maushuzi
si tupige miluzi
sisi ni marafiki
tumepitia dhiki
hatupendi unafiki
yauzushi maushuzi
si tupige miluzi
[outro]
instrumental playing…
كلمات أغنية عشوائية
- mc igu - morfeus كلمات أغنية
- vacra - bigoudi كلمات أغنية
- doves - southern bell كلمات أغنية
- cakoxio - nope youre too late i already died cover كلمات أغنية
- lamouzi - taschenschieberflow كلمات أغنية
- thomas anders - one in a million (thomas' version) كلمات أغنية
- женя трофимов (zhenya trofimov) - номер (number) كلمات أغنية
- alex lepping - i'm not here كلمات أغنية
- sandie shaw - lay lady lay كلمات أغنية
- bvbvs - can u be كلمات أغنية