
ebebé jamal - finalize كلمات أغنية
yeah
ebebe ebebe
braxy
walizani tunatry
k_mbe tunafinalize
yeah, ooh no no no no
walizani tunatry
k_mbe tunafinalize
yeah,yeah, aah
suprize tun_z_plus hatuminize
kama mchezo uwanjani huwaga twaplay nice
wanaongea hatuzingatii tunaroll dice
umoja kwetu nguvu hatutengani till we die
tunavyoangaika na haya maisha kama cinema
na bado wanachukulia poa ila si vyema
mimi na wanangu huwaga hatumind
chuki tun_z_sahau vicheko twavirewind
tunapolala amani tunapoamka amani
hatupoteani hata utushikie gun
wanaongea mtaani, si hatuna habari
ok we unatag mimi na wanangu company
tunapotoka mbali, tulipo sio zari
tunapoenda mbali ngumu kufika ata uwe na gari
wanatupa visogo ila tunawajua
wanachafua logo k_mbe wanatuinua
walizani tunatry
k_mbe tunafinalize
yeah, ooh no no no no
walizani tunatry
k_mbe tunafinalize
yeah, ooh no no no no no
walizani tunatry
k_mbe tunafinalize
yeah, ooh no no no no no
walizani tunatry
k_mbe tunafinalize
yeah
braza tupo serious braza tupo serious
na kama haupo serious kamwe hatuitaji ubia
tunasaka rupia ndio maana tumepania
wanakosaga amani tunapozichenji gia
kufa au kuzimia, tumetia nia
wanakula kona si tunakula beer
tunavyozibugia, usije ukatualibia
mlango tuliotokea sio tulioingilia
na wanavyotubania tunatoboa hawana idea
tupo kwenye vikao vya kusldiscuss tasnia
wanatukazia wanatuhofia
tutawachezesha samba ndoto zitapotimia
ukipata wanawahi tangaza eti walikusaidia
w_ngekuwa wanagawa riziki hata sumni wasingetugaia
walizani tunatry
k_mbe tunafinalize
yeah, ooh no no no no
walizani tunatry
k_mbe tunafinalize
walizani tunatry
k_mbe tunafinalize
yeah, ooh no no no no
walizani tunatry
k_mbe tunafinalize
watu wabaya association
ubaya ubaya wanangu congratulations
chimo sound
braxy
كلمات أغنية عشوائية
- janis joplin - janis joplin vs medicine head (remix) — mercedes benz كلمات أغنية
- mia (everglow) - abcdefu كلمات أغنية
- the potato chips - roxann'es real fat (vocal) كلمات أغنية
- vegasmadechri$! - hitmyphone! كلمات أغنية
- kassierer - menschenkatapult كلمات أغنية
- yvncc - my new stompas كلمات أغنية
- h.o.s.t. alliance - ölmüş ümidlər كلمات أغنية
- joshua lanuarii - away from what matters كلمات أغنية
- matt watson - ring pop كلمات أغنية
- high hi - 94a9 كلمات أغنية