kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

e breezy - twende كلمات الأغنية

Loading...

twende
twende
twende
tw_en_de
ntakufikishaaaaaaaaaaa
ntakufikishaaaaaaaaaaa
ntakutowa kwenye gizaaaaaa
siku mpya imefikaaaaaaaaaa

verse 1
wananita upepo
maana kila saa nipo wapi napotakiwa kuwepo
nakupeleka
kisha nakurudisha
kukuoniesha your full potential
life is not hard
it’s the common sense
of human being
thats sets us apart
coast to coast kama kamusi
nachona hii njia utafikiri mie msusi
wengi si ni nyota
inasikitisha hatujui kwamba
tuna deserve maisha bora
sina proper definition
unless unikute in action
in such a beautiful thing when you witness someone being active
mjadala unakuja kabla ya talaka
hii ni process haitaji haraka
kila moja wetu ana umuhimu wake hapa
sina mdaa wa ku tеst
na mdaa wa ku accomplish
and show you what it means to be at your best
uzoеfu wa kuka kwenye kona kuji fanya mgumu
lakini je unajuwa maana ya umaradumu
zaidi ya rapper
haswa mi ni philosopher
niko hapa kuongoza w_ngu kutoka kwenye ulofaaa
hook
ahhhhhh amkaaaaaaaaaaaaaa
amkaaaaaaaaaaa
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
toa kwenye giza
siku mpya imefika

verse2
jua linatoka
na kuzama
natumai utafanya jambo la maana
wana nchi wamechoka kula hasara
upotevu hauna udungu
kuliko kuzidi kubadilisha watu kuwa ma sugu
siyo rahisi
ila uzalendo w_ngu
haukubali niwe na udhaifu
siwezi kuachia taifa langu lipate aibu
vitendo ni tofauti
ndo maana naf_kuwa mauti
tuweze kusikiza hizi sauti
maneno yangu yawapatia watu nguvu
kutoka nyumban
kutoka
kutoka nyumbani
kutafuta kitoeo
kwa watakao endeleza taifa la kesho
watu wanavuruga
sema hawajui kupanga
ndo maana tupo nyuma ki standards
watafikiria sie ni wendazimu
ila
moja wetu lazima ajitolee
kuwa mwalimu
amini hipo siku mwenzangu
kuwa mkarimu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...