kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dully sykes - tamika كلمات الأغنية

Loading...

[chorus]
rudi nyumbani, tamika
kwani watoto wanateseka, aah
nikik_mbuka tuliko toka
roho yangu ina sononeka, aah
oh_oh
rudi nyumbani, tamika
kwani watoto wanateseka, aah
nikik_mbuka tuliko toka
roho yangu ina sononeka, aah
oh_oh

[verse 1]
yapata mwaka, miezi
tangu utoroke nyumbani mpenzi
watoto wamekosa malezi
sababu yako, tamika mpenzi
oh_oh

[verse 2]
naomba piga j_po simu
unieleze unapo ishi, eh,eh
uchangamfu na ucheshi
hii wako sasa ni simulizi
oh_oh
[verse 3]
watoto w_n_lia njaa
na baba yao sina hata kazi
eh_eh
nitakuja kupata uchizi
sababu yako tamika mpenzi
rudi nyumbani

[chorus]
rudi nyumbani, tamika
kwani watoto wanateseka, aah
nikik_mbuka tuliko toka
roho yangu ina sononeka, aah
oh_oh
rudi nyumbani, tamika
kwani watoto wanateseka, aah
nikik_mbuka tuliko toka
roho yangu ina sononeka, aah
oh_oh

[verse 4]
walimwengu sina furaha
na ishi kwa taabu na karaha
ah_ah
naimba huku nasononeka
kwa mambo aliyo yafanya tamika
oh_ooh
[verse 5]
uzuri wake akicheka
nikimk_mbuka na huzunika, ah, ah
sina hata la kufanya
au sababu mimi sina pesa?
oh_oh

[verse 6]
moyo w_ngu unadunda
ni jinsi gani ninavyo kupenda
wazazi wako hawajui
pahali gani ulipo kwenda
oh_ooh

[verse 7]
hebu tamika kwanza k_mbuka
huku nyumbani umeacha watoto, oh
na mimi mzazi mwenzako
na kufikiria wewe uliko
rudi nyumbani

[chorus]
rudi nyumbani, tamika
kwani watoto wanateseka, aah
nikik_mbuka tuliko toka
roho yangu ina sononeka
oh_oh
rudi nyumbani, tamika
kwani watoto wanatesеka, aah
nikik_mbuka tuliko toka
roho yangu ina sononeka
oh_oh
[outro]
yeah (?), dully sykes
tamika rudi, ‘dully anakutafuta, wacha k_mtеsa
mombasa, ‘nimemtafuta
kampala, ‘nimemtafuta
nairobi, ‘nimemtafuta
tamika, nimemkosa
mombasa, ‘nimemtafuta
kampala, ‘nimemtafuta
nairobi, ‘nimemtafuta
tamika, nimemkosa
mombasa, ‘nimemtafuta
kampala, ‘nimemtafuta
nairobi, ‘nimemtafuta
tamika, nimemkosa

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...