kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dully sykes - salome كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
oh, oh
oh, oh, oh

[chorus]
salome juu ya kaburi lako nalia, aah
kilio nakisikia
dakika za mwisho mpenzi w_ngu najutia, aah
kosa nililo kufanyia
salome juu ya kaburi lako nalia, aah
kilio nakisikia
dakika za mwisho mpenzi w_ngu najutia, aah
kosa nililo kufanyia

[verse 1]
siku ya kwanza nilikutana na wewe
akili iliruka na kupata kiwewe
sikuamini kama ningekutana na wewe
hilo la kwanza, naomba unielewe
nikakutongoza, ukanikubalia
ulijipa moyo tena mia kwa mia
umekwisha pata bwana atakaye kuoa
k_mbe nilikuona kama demu wa kuzugia
miezi saba mbele iliendelea
na mapenzi kwako we yakapungua
k_mbe ulikuwa na mimba yakujifungua
miezi yote hiyo wala hukuniambia
ulijua lazima nitaisagia
na ndio ndoto yangu hiyo ilikuwa
na ulipo jaribu mimi kuniambia
katu katu na mimi nikakukatalia
salome mpenzi w_ngu ukaanza kulia
kwa uoga w_ngu mimi nikakuambia
tuonane siku inayofuatia
kwa unyonge, salome ukaitikia
[chorus]
salome juu ya kaburi lako nalia, aah
kilio nakisikia
dakika za mwisho mpenzi w_ngu najutia, aah
kosa nililo kufanyia
salome juu ya kaburi lako nalia, aah
kilio nakisikia
dakika za mwisho mpenzi w_ngu najutia, aah
kosa nililo kufanyia

[verse 2]
siku ya pili tena nilipofikia
asubuhi mapema mimi nikakimbia
nikakimbia na kuelеkea mbeya
huku nyuma ‘salome uliningojеa
saa, dakika, sekunde zilipotea
ulichoka mpenzi kwa kuningojea
ikakubidi uje kuniulizia nyumbani
wakasema dully ameshakwisha kimbia
salome mpenzi w_ngu ulinyong’onyea
hazikupita dakika ukazimia
ndoo za maji tatu walik_mwagia
ndipo hapo fahamu zikakurudia
ulilia mwisho we mpaka kujutia
ulijuta kwanini ulinikubalia
ulirudi nyumbani kwenu unalia
hadi chumbani kwako, ‘ukajifungia
salome mpenzi w_ngu ukaandika barua
“msimfunge dully, mimi najiua”
dakika tano mbele zilipowadia, pole pole kitanzi ukajifungia
ukajinyonga nakuiaga dunia
nisamehe salome leo najutia
ukajinyonga nakuiaga dunia
nisamehe salome leo najutia
[chorus]
salome juu ya kaburi lako nalia, aah
kilio nakisikia
dakika za mwisho mpenzi w_ngu najutia, aah
kosa nililo kufanyia
salome juu ya kaburi lako nalia, aah
kilio nakisikia
dakika za mwisho mpenzi w_ngu najutia, aah
kosa nililo kufanyia

[chorus repeat]
salome juu ya kaburi lako nalia, aah
kilio nakisikia
dakika za mwisho mpenzi w_ngu najutia, aah
kosa nililo kufanyia
salome juu ya kaburi lako nalia, aah
kilio nakisikia
dakika za mwisho mpenzi w_ngu najutia, aah
kosa nililo kufanyia

[outro]
oh_ooh, ooh
dully sykes
mika mwamba

(instrumentals)
oh_ooh, ooh

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...