
dulla makabila - furahi كلمات أغنية
[intro]
oh_oh, oh, oh, oh
oh_oh, oh, oh, oh
oh_oh, oh, oh, oh
mm, mmm, mmm
we furahi
(?)
[verse 1]
kwanza najua ulinipenda ulimbukeni wa umaarufu, ndio sababu ukaniacha
ukimcheki wolper na uwoya, ukaona tamthilia ka zina kuchelewesha
k_mbuka ile siku ulitaka penzi, ukanikazia, kisa laki nane, nami si kukukatalia
ukasema nikutumie kwanza ndio mzuka nitakao kugea
yaani tupo ndani ya ndoa ila bado ulinidangia
nami sishangai njia ndio inavyokuwa, umeniacha mimi, mzungu amekuvutia
mpende baba wa watu ana ugonjwa wa kuzimia
ukileta manjegeka, utapewa kesi ya kuua
[chorus]
we furahi, nimekuacha, furahi
we furahi, nimekushindwa, furahi tu
we furahi, twiga wa chamazi, furahi
we furahi, mwenyewe umepata mzungu, furahi tu
[verse 2]
ila wasanii wenzangu, maua yao wapewe, walivyo sherekea kama sio wao
hongera walizotoa kw_ngu na kwa mzungu vile vile, unafiki upo ndani ya mifupa yao
kila siku kuolewa, kuachika, nakuomba utulie
mimi si ulininywea p2?, basi huyo mzungu, mzalie
na ile tabia ya kupenda ku_trend, ungebadilika
yaani mambo ya chumbani, kwa lokole yashafika, na ile siri yetu mpaka leo mi nimeificha
nawe jitahidi mzungu asijue kama hujui kupika
[post_chorus]
we furahi, nimekuacha, furahi
we furahi, nimekushindwa, furahi tu
we furahi, twiga wa chamazi, furahi
we furahi, mwenyewe umepata mzungu, furahi tu
gs music
[instrumental outro]
monster like a monster and this is a good monster
كلمات أغنية عشوائية
- sugababes - in the middle (2) كلمات أغنية
- lisa marie presley - excuse me (hidden track) كلمات أغنية
- sugar babes - destination كلمات أغنية
- sugababes - nu flow كلمات أغنية
- lisa - tampered with (bonus track) كلمات أغنية
- lisa - friends كلمات أغنية
- ricardo arjona - millonario de luz كلمات أغنية
- lisa lambert - show off كلمات أغنية
- lisa lambert - adolpho كلمات أغنية
- lisa lambert - bride's lament كلمات أغنية