kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dr xolly(bwana harusi) - manka كلمات الأغنية

Loading...

intro

untouchable g_nius..

chombaa :

(chombaa mellody..she coming in love..ameniteka..)

h_pol

dr xolly :

(bwanaharusiiii)

dr xolly : habari bro..

chombaa : yes!!

dr xolly : bila shaka unatokea..

chombaa : okey..!!

dr xolly : kwenye nyumba ile kama sijakosea..
nimetoka umbali mrefu mixer kuotea..
najiuliza nimefika au nimepotea..

chombaa : mmmmmhhhhh..
nikweli ndo hapa mimi,na kwenye nyumba ile nimetokea..
kuna mgeni nimeagizwa nije mara moja k_mpokea..
au huenda ndio wewe..??
dr xolly : yes!! yes!! ndio mimi..!!!
chombaa : nielezee nijuee..eeeeh..mlikutana vipi na yeye..yeyeeh..

dr xolly : nilikutana naye chochoroni soko jipya..
moja kati ya wauzaji mi pekee ndio akaniita..
kuniuliza apate wapi nzuri tangawizi..
nikamweleza jirani tuuu kwa mwanangu wizzzz…

chombaa : mbona lugha unanichanganya huyu mtoto hajazoea
wahuni

dr xolly : hapana brother mi ni mwema wala sio mwizi..
niko safi kitabia ila mavazi ya sikuhizi..

chombaa : mbona kama unajikanyaga acha nikuulize swali unijibu..
anaitwa nani..???
dr xolly : anaitwa manka…
chombaa : ngozi rangi gani..??
dr xolly : udongo wa makah
chombaa : anacheka cheko ganii..??
dr xolly : cheko lake la kinuksii..
chombaa : mavazi aina gani..??
dr xolly : dolce,cabanna gucci..

chombaa : yule binti ana makuzi..tabia utamuwezaa..??
kutwa kucha ana mashauzi..je! mwenzangu utamuweza..?

dr xolly : kivipi au ndo pigo za kichagani..
nieleze ili nijue isiwe mguu nje, mguu ndani..

chombaa : mchaga ni mama yake sio yeyeee..
lakini baba yake mkerewee..
kwani zawadi umesahau..maana atahisi umemdharau..
ila kama chochote angalau..
tonge mdomoni ukashindwe mwenyewe…

dr xolly : mbona balaa maana nina zawadi za kibishi..
bonge la kitenge rangi kijani kibichi..
pia sikusahau nikapitia na mapipi..
sokoni nikakusanya avocado na matikiti..
hapo vipi…????

chombaa : hapo sawa..ndo mahali pake..utafanya tu achekeee…

dr xolly : daah!! raha sana yani ok ngoja nikuulize anko..
kwani unaitwa nani kwanii..??
chombaa : uncle yake yeyeee..
dr xolly : una kazi gani pale kwani..??
chombaa : mi ni gatekeeper..
dr xolly : toka muda gani yaani kwani..??
chombaa : haikuhusu we nifate..ingia ndani tumeshafikaa..
dr xolly : k_mbe ma_best eeeeehhh..???

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...