kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dr xolly(bwana harusi) - jishauwe كلمات الأغنية

Loading...

intro :

mel!cksounds mbaba

iiiiihhhh…wowowooooowaaah..

bwanaharusiiiiiiiiiiiii…habari gani today???

heeeey…

verse 1 :

wakitunisha vigodoro, we waongezee na mashuka…
manake kuna mungu alichokupa…[hiiiiii]
kiuno bila mfupa, namba 8 isiyo na moja wala nukta…
na mabutubutu yako mama kilioni…
mabusubusu yako ya shingoni..
nusunusu nakufa niko lindoni…[iiiiiihhh]
mtukutu wa mapenzi na sikomi…[wayaaaaaah]

heyy..uno motor motor mama kama dainamo…[hee]
ukiyachota maji nami naipamo…
na ukiyakokota hakuna kinachobakiamo…[hee]
kina kirefu nimeshakizidi kimo…

bridge :
nitawachoma miba kama nungunungu yeeh…
wewe ndicho alichonipa mungu yeeh…
kama makofi nitapiga na marungu yeeh…
nitakulinda mindo sungusungu yeeh…

chorus :

hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
basi jishauwe…
hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
basi jishauwe…
hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
basi jishauwe…
hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
basi jishauwe…
hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
basi jishauwe…

verse 2 :

hata ukitupia tupia nguo la gunia…
likiwa na vumbi ila bado unanukia…
mama mia nia imeshawadia…
unanilewesha bila kunywa hata bia…

kanyagia ile gia kama motorcycle…
huna makuzi ya kujikuzisha tittle…
ule ujuzi kunichezesh_ga kwaito…
nashikwa hisia kila muda ufikapo…
wa kwichi kwichi nipe..
mama tuki_kuch kuch rote…[enhee]
juu na chini ikite…
nyama mbichi zigusane zote…

bridge :

nitawachoma miba kama nungunungu yeeh…
wewe ndicho alichonipa mungu yeeh…
kama makofi nitapiga na marungu yeeh…
nitakulinda mindo sungusungu yeeh…

chorus :

hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
basi jishauwe…
hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
basi jishauwe…
hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
basi jishauwe…
hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
basi jishauwe…
hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
basi jishauwe…

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...