kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dr xolly(bwana harusi) - chuku كلمات الأغنية

Loading...

intro

yoooh…

james babu on the beat..

chuku..chuku..chuku chuku chuku…x2

bwanaharusiiiiii…

verse 1

very for the day..
kwa maana ninawaza ile pesa for bata day..(bata day..bata day..)
hakuna utata nikizipata mpaka nadata na sikosei..(sikosei..sikosei..)
iwe chuku kamata buku lipa rudhuku maanake panya na buku ni wengi..(ni wengi..)
bahati ni za bukuku mimi kapuku kelele kama kasuku sipendi..
marketing local..haramu in the boko..
matembezi kila siku kwenye shopping soko..
haters ndoto..kunishika mi ni moto..
nimewaka na nimewapa mpaka majoto..
na bang bila ndula..
kiongozi bila kura..
biashara inajiuza pasipo kuleta sura..
mipango kujipanga..
iwe town ama bush na mipanga..(panga..panga..pangaa..)

bridge

day after day kichwa kinawaza pay..
nilale nikiamka kesho iwe bata day..x2

chorus

yooh..
chuku..chuku..chuku chuku chuku..
chuku..chuku..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..

verse 2

jeehh..jehh

nahitaji kuwa boss milele na siku zotee..
niziache zile kelele za kuniita mimi kiokotee..
nifanye mishe za mbele zile za nyuma niziache zotee..
nivuke mpaka kilele kwenye milima mabonde yotee..
unahisi umebarikiwa..
unaota ndoto za ajabu kesho unahisi umefanikiwa..
nani kachanganyikiwa..
au ni mimi na wewe ni nani atabaki kuwa mkiwa..
coz nafanya vikali ili nipungwe mahewa..
natoka madhari hatari makali niulizieni kilimahewa..
yeeeh..
naweka moko ni moko by moko kila chocho..
coz ninachokifanya kw_ngu ni ndoto hakuna msoto..
bado usafiri hatari yaani ngoko by ngoko..

bridge

day after day kichwa kinawaza pay..
nilale nikiamka kesho iwe bata day..x2

chorus

yooh..
chuku..chuku..chuku chuku chuku..
chuku..chuku..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..
nachukua naweka..chuku chuku chuku..

outro

h_pol

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...