kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

don't play - andy lawn كلمات أغنية

Loading...

don’t play

[intro : andy lawn]

susususuuuu

[ pre_chorus : andy lawn ]
mwili ina_drop, kwa casket (aaah)
sinanga biz, na sanse (eeeiii)
tuna_run, hizi deals (aaah)
wanadhani, mini_konte (wooo)
kama ni biz, we don’t play (ice, ice, ice)
sina ma_time, ya off day
kama ni biz, we don’t play (wooo)
sina ma_time, ya off day (yeah, yeah)

[ verse 1 : yung lee ]

i run it down
am balling, na_gusa ka_kante (aaah)
stoshei hiyo, pingu afande
taja ni ngapi, nta_chuna, i don’t play
game ni chafu, no complain
zoea, ukichoka jitoe (eeeeiii)
game ni chafu, no complain
minabaki, najua ku_run (eeeiii)
nina_dharau, fake n_ggas, wabaki huko kwao
vitu junkie, unashika ma_thao
wacha ujinga, utakula vibao
hadharani, utabaki kwa ground
hizo scenes, zitafanya u_drown (eeeiii)
hadharani, utabaki kwa ground
hizo scenes, zitafanya u_drown (eeeiii)
[ verse 2 : andy lawn ]
cheki na run, hizi skits (cheki)
wanabaki wakishindwa, nani ndio beast? (beast)
niko biz on repeat (repeat)
all my g’s, wanasimp (simp)
flow ni moto, kama gas leak (ntaa)
nishafika, kwenye peak (ntaa)
haga mami, yoh sinanga chalice
nikamshika, joh na blue print (print)
cheki vile mina_spit, kwa booth
mind game, kama chess piece
mi huweka, kazi kwa verse (verse)
tiktok, hii ni must pay (pay)
mi ni beast, no debate (bate)
waki_try, kuni_diss (diss)
manze hizi bars, ni kama curse
wakisema, ati ni luck (eeeiii)

[ chorus : andy lawn ]
mwili ina_drop, kwa casket (aaah)
sinanga, biz na sanse (yeah)
tuna_run, hizi deals (aaah)
wanadhani, mini_konte
kama ni biz, we don’t play
sina ma_time, ya off day
kama ni biz, we don’t play
sina ma_time, ya off day
mwili ina_drop, kwa casket (aaah)
sinanga, biz na sanse (eeeiii)
tuna_run, hizi deals (aaah)
wanadhani, mini_konte (wooo)
kama ni biz, we don’t play ( ice, ice, ice)
sina ma_time, ya off day (mmm_mmm)
kama ni biz, we don’t play (yoh, listen)
sina ma_time, ya off day

[verse 3 : double g ]
daily niko on, ka_hawker
bang’a, aki double tap nam_gotha
wauniita, g double joker
but mwere akijidai, nam_zima juu ya mbota (huh)
naingia rima (huh_huh)
kesho yake, natoka na maziwa
huezi ni wahi kwa choche, usiku wa manane (huh)
that’s why, hatuezi fanana (huh)
niko on the paycheck, vuala
unatumianga payless app, apana
mblainer, shandwa chap chap
juu soon as we step, tunawaponanga faster
msupa mi ndio master, na we ndio plan, so sioni tukiachana
jua we don’t play off day, noma, so ukitu_cross ni lawama (yoh)

[ verse 5 : kisanga ]
everyday, tunadrop hizi hits
hii ndio pace, mtaa huwezi snitch
tuko ready, hauskii tunak!ll
man on a mission (huh), utafeel
hii si kiki, lakini ina_kick
wametry kuni_dim, sema beast
zero pressure, try to ku_heal
zero pressure, try to ku_heal
mihukesha, ukileta hiyo biz
misi_member, juu niko na bills
no chills, kwa game nili_fit
naona opp, daily kwa mix
we ndio sender, back uta_talk
tume_spit, daily for long
siwezi cheza na biz, siwezi kam hivyo, na huwezi ni treat
evil ni evil, hata kaa umerepeat
evil ni evil, hata kaa umerepeat

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...