kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

don santo - tabasamu langu كلمات الأغنية

Loading...

intro [instrumentals ]

chorus]
||: moyoni mw_ngu, nina amani
ninayopata kwako
mpenzi w_ngu, usiende mbali
you tabasamu langu. :||

[verse:]
||: mpenzi mwandani mahabubu
naanza kwa kuomba msamaha
nilijaribu na sikuweza
kuyasarifu maneno matamu :||

||: kuna makosa yalifanyika
ukaondoka kw_ngu vigafla
sikuamini kwamba waenda
mpenzi we :||
[chorus:]
||: moyoni mw_ngu, nina amani
ninayopata kwako
mpenzi w_ngu, usiende mbali
you tabasamu langu. :||

[verse 2:]
kwako nimeonja asali
na sitaki tena sukari
wewe ndiwe mpenzi w_ngu
eeeeeeeeeee

[instrumentals]

kwa mwengine sitokwenda
mola wewe kanitunuku
itakuaje wewe karibu
mpenzi ….

[chorus:]
||: moyoni mw_ngu, nina amani
ninayopata kwako
mpenzi w_ngu, usiende mbali
you tabasamu langu. :||

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...