kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

don santo - ni wewe كلمات الأغنية

Loading...

lyrics to the song “ni wewe ” by don santo
t-tle: ni wewe
artist: don santo
genre: kalpop
album: am black
label: kl-ssik royale

verse 1
bora mimi najua, ewe mola
moyo w-ngu umeshakubali
siwezi lolote
like nothing
you are always amazing and winning
kwa maisha waeza pata penzi tamu au chungu kama shubiri
katika hulka za maisha waeza dhani umepata k-mbe umefeli
hakuna uonalo jema…
kiwa nawe…
i will always count my blessings

chorus
ni weweeeeeeeeh …………
milelee eh eeeh…….. x2

verse 2
mu muoyo kwanje
shindaleka
amakesi ka buonia bwo
kwamba hakuna mwengine utapenda kwa kweli ila mimi
kwako nitatuliza vyema…
kiwa nawe…
i will always count my blessings

chorus
ni weweeeeeeeeh …………
milelee eh eeeh…….. x2

verse 3
last time, kuna venye nilikosa
na pia nika-run away
this time, nitatulia tu nyasacha
kwa vile nime-learn your way

unanipa sababu kabambe kukupa sifa
sifa yako, siwezi ng’ang’ania
kiwa nawe …
i will always count my blessings

chorus
ni weweeeeeeeeh …………
milelee eh eeeh…….. x2

[outro]
#blameitondon

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...