
don santo - kupe كلمات أغنية
intro
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k_mbe ni kupe :||
verse 1
huko mjini kuna mambo, unavyoona k_mbe sivyo
wenye suti majambazi, na magari ya kifahari
kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza mengi
kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza vyote
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k_mbe ni kupe :||
verse 2
leta pesa tutaifanya double, triple hata mara k_mi unavyotaka, utapata;
na k_mbe kile wanachokita sana ni kukubwaga;
hao x3 – ni wezi kupindukia;
i know x 3 – ni ngumu kuwatambua
akija na story, jipange pange; akija na vako, mrushe rushe
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k_mbe ni kupe :||
verse 3
t’t’take care, mjini huwaga na wahuni;
utadhani muhubiri wa neno la mungu, k_mbe ni broker na kahaba
“bibilia inasema (kunja mdomo hivi x2) halafu nitawaambia wapande mbegu”
acha ukora yeye yeye yeyee, hahahahahahahaha shame on you!
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k_mbe ni kupe :||
كلمات أغنية عشوائية
- only bobby lee - dishes كلمات أغنية
- lolabúm - salgo en la tele كلمات أغنية
- hansi lang - monte video كلمات أغنية
- osy - ilovesluts3 كلمات أغنية
- paldial - supernova كلمات أغنية
- b•retti - drastic كلمات أغنية
- sezairi - violets (interlude) كلمات أغنية
- tarkov lee - tranzit كلمات أغنية
- jeremy loops - it's all good كلمات أغنية
- yumesaki - 膿 (remix) كلمات أغنية