don santo - inauma كلمات الأغنية
ooh ah! ooh ah! inauma!
ooh ah! ooh ah! inauma!
this ink, it runs
this paper stained;
tears run free as;
i’m stuck in a daze
i put this pen to paper…
to write the words;
this voice can’t deliver
unaeza care ukiacha kubonga?
acha nitoke nipunge hewa;
nami nisakate yangu ngoma
kalpop is the only song;
soma maandiko
nitatia bidii santo music ivume;
nisahau mishale na donda lipone…
mashaallah wapendeza;
vile moyo w_ngu rahisi kupendwa;
nitampata mwengine asiye na sura yako;
niage ya zamani…
usiende mpenzi, utaniponza mie
ukipenda baby, tusuluhishe
what about my feeling?
ooh ah! ooh ah! inauma!
ama kweli inaniumiza!
ooh ah! ooh ah! inauma!
in the shadows of your gaze, i stand
lost within a love, so grand
lakini kuondoka kwako, dhoruba more so; inauma!
i thought our love’s unbreakablе steel
nimeumizwa but still…
nimesimama hapa, maneno yanagеuka kutu
haya mambo ya fifty_fifty; fifty_fifty makachietha
after all, niko guilty_guilty; nili kuchiti chiti unavyosema
but ukiondoka, uniachie wanangu tu
kwani hata moyo, sitaki shubiri kw_ngu
hakuna mwengine kama wewe;
siwezi ishi bila wewe;
uongo tunaosemezana nao
usiende mpenzi, utaniponza mie
ukipenda baby, tusuluhishe
what about my feeling?
ooh ah! ooh ah! inauma!
ama kweli inaniumiza!
ooh ah! ooh ah! inauma!
nana nana naah! nana nana naah
ooh ah! ooh ah! inauma!
ama kweli inaniumiza!
ooh ah! ooh ah! inauma!
كلمات أغنية عشوائية
- loé - parasite by lo ft. mellybaby كلمات الأغنية
- degos & re-done - timebomb كلمات الأغنية
- 伊東歌詞太郎 (kashitaro ito) - undead-noid كلمات الأغنية
- shea perrier - if you love me كلمات الأغنية
- nezzus - limbo كلمات الأغنية
- killrhea! - take it back كلمات الأغنية
- lil caio (tdp) - ca$h (og) كلمات الأغنية
- zaska - calm down كلمات الأغنية
- lando! (landosmusic) - if i really كلمات الأغنية
- sero el mero - kein statement كلمات الأغنية