don santo - arciah anyanga wangara كلمات الأغنية
Loading...
stanza one
kama kuna mtu mwema, si mwengine;
ila wewe arciah eh w_ngara;
na mipango ya mola ni mengine;
na sasa upo ahera ah mama
ulicheza santo, franco sawa na kidum
ulinilea nikiwa sijifahamu mama rabin;
tunakukosa oh sana ooooh!
prayer
raha ya milele umpe ariciah anyanga w_ngara, ee bwana, na mw_nga wa milele umuangazie
roho yake na roho za marehemu wote kwa rehema za mwenyezi mungu zipumzike kwa amani. amina
stanza two
kama kuna mtu mwema, si mwengine;
ila wewe arciah eh anyanga;
na mipango ya mola ni mengine;
na sasa upo ahera ah mama
ulikuwa na moyo wa malaika;
ulitulea wengi oh mama aaliyah;
tunakukosa oh sana ooooh!
كلمات أغنية عشوائية
- the boomtang boys - both sides now كلمات الأغنية
- anything but joey - the song from hell كلمات الأغنية
- the boomtang boys - squeeze toy كلمات الأغنية
- bainbridge merril - under the water كلمات الأغنية
- the boomtang boys - dancing with myself كلمات الأغنية
- bainbridge merril - mouth كلمات الأغنية
- f4 - ai de ling yu كلمات الأغنية
- bajaga - ni na nebu ni na zemlji كلمات الأغنية
- bajaga - otkada tebe volim كلمات الأغنية
- f4 - chu chai can (english version) كلمات الأغنية