don jatelo - tabasamu langu كلمات الأغنية
Loading...
intro [instrumentals ]
chorus]
moyoni mw-ngu, nina amani,
ninayopata kwako
mpenzi w-ngu, usiende mbali,
u tabasamu langu. x2
[verse 1]
mpenzi mwandani mahabubu
naanza kwa kuomba msamaha
nilijaribu na sikuweza
kuyasarifu maneno matamu x2
kuna makosa yalifanyika
ukaondoka kw-ngu vigafla
sikuamini kwamba waenda
mpenzi we x2
[chorus]
moyoni mw-ngu, nina amani,
ninayopata kwako
mpenzi w-ngu, usiende mbali,
u tabasamu langu. x2
[verse 2]
kwako nimeonja asali
na sitaki tena sukari
wewe ndiwe mpenzi w-ngu
eeeeeeeeeee
[instrumentals]
kwa mwengine sitokwenda
mola wewe kanitunuku
itakuaje wewe karibu
mpenzi ….
[chorus]
moyoni mw-ngu, nina amani,
ninayopata kwako
mpenzi w-ngu, usiende mbali,
u tabasamu langu. x2
كلمات أغنية عشوائية
- hammill peter - sunshine كلمات الأغنية
- hammill peter - summer song (in the autumn) كلمات الأغنية
- hammill peter - stranger still كلمات الأغنية
- hammill peter - solitude كلمات الأغنية
- hammill peter - sitting targets كلمات الأغنية
- hammill peter - slender threads كلمات الأغنية
- hammill peter - sign كلمات الأغنية
- hammill peter - rubicon كلمات الأغنية
- hammill peter - shingle song كلمات الأغنية
- hammill peter - reprise كلمات الأغنية