kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

domani mkadinali - mihadarati كلمات الأغنية

Loading...

[intro: toploader]
(everybody’s dance_dance_dance_dancing)

[chorus: domani mkadinali]
unakonda kwa nini na [?], [?] mihadarati
sipendi mihadarati sana, [?] wewe
ata mama alimwambia [?]
sipendi mihadarati sana, [?] wewe
mwalimu shule ameleta tuone mihadarati
sipendi mihadarati sana, [?] wewe
[?]
sipendi mihadarati
unakonda kwa nini na [?], [?] mihadarati

[verse 1: sewersydaa mkadinali]
rong rende
kwani topic itakuw_nga tu makali?
ati moshi ndio ilifanya usione gari?
yo, driver ako under influence, hatuendi mahali
man, sadiq [?] hadi mtaa nakinda mali
socks zimefura ndio ujue rose tunauza
cop si wa kula, row si tushafungwa
[?] haina pupa, uki_insist pia utakufa
saa hii wako ma_coke, bro ako ma_chrome
nani ata[?], ni mokoro ana_moan
why do i put you on? yes, wali_perform
miracle, ati ali_change maji to [?]
[?] husikii, hivo ndio mi huambiwa
ni feeling inaitwa kushika, liquor ikishikana na liver
ma_diva niliarifa, muulize
saa hii amekuwa miezi [?]

[interlude: toploader]
(everybody’s dancing in the moonlight
dancing in the moonlight
everybody’s feeling warm and bright)

[chorus: domani mkadinali]
unakonda kwa nini na [?], [?] mihadarati
sipendi mihadarati sana, [?] wewe
ata mama alimwambia [?]
sipendi mihadarati sana, [?] wewe
mwalimu shule ameleta tuone mihadarati
sipendi mihadarati sana, [?] wewe
[?]
sipendi mihadarati
unakonda kwa nini na [?], [?] mihadarati

[verse 2: domani mkadinali]
yo, naishi mtaa youths wamepagawa huko, wengine wameachilia wire
juu ya drugs, guns, violence, mpaka kuna chokoch aliuawa
[?], ndio maana approach [?]
niaje yout ako 25 aka_rape shosh wa 91?
i used to have this ex, ata sisemi nani, husikii?
face pretty, body risky, ngori ni ye hupenda whiskey
ratchet chini ya maji but girl yu hushinda church
tuli_regret, alikufa kaa amejifunika carpet chini ya bed
sijakam ku_preach injili, ila [?] hadi tume_retreat
na juu ya mama, spirit yake, wakadinali’s for the kids
[?] haj_poteza [?]
heri kuishi bila politician, tusijipakange marashi
kuna msee alikuwa bigi [?]
aka_mix [?]

[intro: toploader]
(everybody’s dancing, dance_dancing)

[chorus: domani mkadinali and sewersydaa mkadinali]
unakonda kwa nini na [?], [?] mihadarati
sipendi mihadarati sana, [?] wewe
ata mama alimwambia [?]
sipendi mihadarati sana, [?] wewe
mwalimu shule ameleta tuone mihadarati
sipendi mihadarati sana, [?] wewe
[?]
sipendi mihadarati (rong rende)
unakonda kwa nini na [?], [?] mihadarati

[outro: toploader]
(everybody’s dancing in the moonlight
dancing in the moonlight
everybody’s feeling warm and bright)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...