do not use in empty fields - michuxo_tunakichafua كلمات الأغنية
usione na flex, usione na vimba
usione nacheka hata kama najua rafiki kazikwa
mbombo ni ngafu maisha ni vita
wapinzani wachawi, nimekuja na mungu mjipange kushindwa
sikiliza hii vocal kwa speaker
tungi mezani, misosi kibao hakuna kuzima
kwenye party nashuka na genge utadhani kikosi cha simba
mpaka watu wazima, kila n_gga amekuja na ndinga
we bitozi utafunzwa heshima
nishakula kitu nakaza na chiga
nasaka shillingi kila kijiji kama machinga
wanapendeza mchana k_mbe usiku wan_z_rudisha
pamba walizoazima! mtumba wa mbeya unatuambia china wewe
chorus:
tunakichafua×3
tunakichafua wewe
tunakichafua×3
tunakichafua wewee
tunakichafua×3
tunakichafua wewe
tunakichafua×3
tunakichafua wewee
kutwa na flex
mchizi na trend
fanya chochote utanikuta top ten
shingoni nina culture nyingi sina chain
watu wana penda ni change
niwe na dance
nifanye video
nipunguze slang
niwe na shoot
niwе na gang
how can i be the best?
usichеze na sisi mbuzi mnono chunga mafisi
kwenye show tunabeba kijiji toka makete mpaka lusisi
wanangu wanasema nikaze mbombo ni ngafu nipe assist
siku nkipata mapesa haki ya nani ntakwenda kusuma shangingi
nina ngoma nyingi nitoe ipi mnataka nini
cheki wapenda misifa walivyokonda wana ukimwi
wanakuja makundi makundi tunawachota kama shamiti
zee la kukomesha kama country wizzy
chorus:
tunakichafua×3
tunakichafua wewe
tunakichafua×3
tunakichafua wewee
tunakichafua×3
tunakichafua wewe
tunakichafua×3
tunakichafua wewee
michu man
michuxo
fad , lil cas , ngosha , zed
winners gang ent
niite zumu
tunchy … master
كلمات أغنية عشوائية
- paula koivuniemi - punahilkka-rock كلمات الأغنية
- unknown ovo artist? - killing me softly كلمات الأغنية
- manney - broken spirits كلمات الأغنية
- dynazty - the road to redemption كلمات الأغنية
- jeunesaint - you كلمات الأغنية
- ñengo flow, clandestino & yailemm - fugitivo* كلمات الأغنية
- exlibris - shadowrise كلمات الأغنية
- deucestacks - forever كلمات الأغنية
- mlar - erreichbar كلمات الأغنية
- koshia - taste (feat. guwopmike) كلمات الأغنية