
dj mushizo - wivu كلمات أغنية
[intro: baddest 47 & jay combat]
mh, weed
weeh, (weeh)
weeh
ah, pilika
ah, pilika, pilika za mtu mweusi
[(?) patia na ukia]
na hili goma nikiwa na dj mushizo, utawaua
kafa paka kazikwa nyau
weeh mushizo
utawaua…
jay!
[pre_chorus: jay combat]
nakupa mapenzi
nakupa vichenji, kipi haupati?
nakuhonga tambo, juu ya tango
bado hutoi [?]
nakupa mapenzi
nakupa vichenji, kipi haupati?
nakuhonga tambo, juu ya tango
bado hutoi [?]
jay!
[hook: jay combat]
sicheki na wowote
naulinda w_ngu moyo
nyie wengine viroboti
hawawezi kuni_follow
mi siruki na wowote
nauchunga w_ngu moyo
nyie wengine viroboti
hawawezi kuni_follow
[chorus]
wivu
wivu, mama
wivu
wivu
wivu, dada
wivu
jay!
[verse 1: jay combat]
laini uko soft
kama sembe wewe sozi
umenitoa stress, dada
mfalme wa mapenzi
yaani sio siri, oh
kama mw_nga ‘wewe tochi
umenimulika mama
kweupe hunifichi
[chorus: jay combat]
wivu
wivu, mama
wivu
wivu
wivu, dada
wivu
jay!
[hook 2]
nakupa mapenzi
nakupa vichenji, kipi haupati?
[?]
nakuhonga tambo, juu ya tango
bado hutoi [?], (mh, weed)
nakupa mapenzi
nakupa vichenji, kipi haupati?,(mh, champion boy)
nakuhonga tambo, juu ya tango
bado hutoi [?]
(yeah, wote, wote)
[verse 2: baddest 47]
yeah
nakupa vichenji
nakupa utamu (tamu)
nakupa ka cv
unakuwa madam (?)
yeah, nakupa u come
nakupa na marejesho, kausha damu
(wivu)
un_z_di takata (takata)
un_z_disha mpaka napata_
(wivu)
au ni kalimbwata? (mbwata)
kana kwamba, umеnikamata
uh, uh
yesu nitembelee (yеah)
na huyu wasimpige ndele (yeah)
(wivu)
ukichuma tembele
mi nachuma pesa, nikujengelee, mh
[hook]
sicheki na wowote (wote)
naulinda w_ngu moyo (okay)
nyie wengine viroboti (yeah)
hawawezi kuni_follow
mi siruki na wowote (wote)
nauchunga w_ngu moyo
nyie wengine viroboti
hawawezi kuni_follow
[post_chorus]
dance
dance, (tuone)
dance
dance, (wote)
dance
dance, [?]
combat jay na mushizo
[interlude]
na hili goma nikiwa na dj mushizo, utawaua
kafa paka kazikwa nyau
ah, pilika, pilika za mtu mweusi
[?] hapa naongea
afro mapishi classic
tutumavi, chafu choo
ah, nakubali sana mr. g_nius
ile ile [?]
nakubali sana issa dancer
ah, nakubali sana wanangu wa mbambadu, we
wa k_manda
[instrumental outro]
(sms music)
lopazi jini
(ah, ah)
كلمات أغنية عشوائية
- purnjo - samsamsam كلمات أغنية
- izzyboygold - alive (tribute) كلمات أغنية
- svn (group) - go! كلمات أغنية
- elvin nasir - ata كلمات أغنية
- la forma - no es novedad كلمات أغنية
- kafuka - catenarias كلمات أغنية
- g-mainey - win كلمات أغنية
- hiền thục - yêu dấu theo gió bay كلمات أغنية
- 2nd in command - but i'm there كلمات أغنية
- lacey (uk) - this is all we are كلمات أغنية