kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dj karashville - m-shamba shape-up كلمات أغنية

Loading...

[intro]
introducing, the new, m_shamba
agent… aaargh, we skiaza tu

[chorus]
nikisaka shamba nili discover
k_mbe g akili ni shamba
akanibamba vako za ushamba
juu hakuwa ameji discover
k_mbe mshamba anafaa mshamba
juu kaa mjanja nlibebwa fala
nkijifanya ntamchanuaga
undercover akilimwa na mshamba

[verse 1]
cheating is fun, until your time, to feel the burn
aki why lie, after nimeamua ku settle down ndio
hii ufala inaamua ku haunt
nkaingia ma interior kutoka exterior nikisaka diva
mwenye ameivisha

[chorus]
nikisaka shamba nili discover
k_mbe g akili ni shamba
akanibamba vako za ushamba
juu hakuwa ameji discover
k_mbe mshamba anafaa mshamba
juu kaa mjanja nlibebwa fala
nkijifanya ntamchanuaga
undercover akilimwa na mshamba
nikisaka shamba nili discover
k_mbe g akili ni shamba
akanibamba vako za ushamba
juu hakuwa ameji discover
k_mbe mshamba anafaa mshamba
juu kaa mjanja nlibebwa fala
nkijifanya ntamchanuaga
undercover akilimwa na mshamba

[verse 2]
nkapata mmoja ametulia, me ni nani nkamwambia
uko fiti umejivunia, nkaa wengi hujavulia
nkawa natoka nkidhania nmemwacha vifuli mia
k_mbe mara mia zina funguliwa na vifungu mbili
mara mia

[chorus]
nikisaka shamba nili discover
k_mbe g akili ni shamba
akanibamba vako za ushamba
juu hakuwa ameji discover
k_mbe mshamba anafaa mshamba
juu kaa mjanja nlibebwa fala
nkijifanya ntamchanuaga
undercover akilimwa na mshamba
nikisaka shamba nili discover
k_mbe g akili ni shamba
akanibamba vako za ushamba
juu hakuwa ameji discover
k_mbe mshamba anafaa mshamba
juu kaa mjanja nlibebwa fala
nkijifanya ntamchanuaga
undercover akilimwa na mshamba

[verse 3]
senyenge ni ngombe lakini hapa mwenye shamba
ndo ng’ombe juu ya senye akawa ng’ombe juu ya
nyenge akawa ng’ombe, ng’ombe ni ng’ombe
ushai kuwa na boma smart, ukirudi jioni unashangaa
kaa uliwacha waazi ama umeporwaaa, aaah!

[chorus]
nikisaka shamba nili discover
k_mbe g akili ni shamba
akanibamba vako za ushamba
juu hakuwa ameji discover
k_mbe mshamba anafaa mshamba
juu kaa mjanja nlibebwa fala
nkijifanya ntamchanuaga
undercover akilimwa na mshamba
nikisaka shamba nili discover
k_mbe g akili ni shamba
akanibamba vako za ushamba
juu hakuwa ameji discover
k_mbe mshamba anafaa mshamba
juu kaa mjanja nlibebwa fala
nkijifanya ntamchanuaga
undercover akilimwa na mshamba

[verse 4]
used to be the man now you move like a b_tch
because a b_tch done turn you a b_tch
listen up you little punk ass b_tch
issabout time you get up on your feet
in this life you’ll face defeat
but never on yourself you give in…

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...